Recent content by vempire

  1. V

    JamiiForums Tanzania BURIANI Sultan Jamshid BIN Abdulla BIN Khalifa (1926 - 2024)

    Proved? How...! Kwamba Nyerere aliwapa watu mikuki na mishale wakapindue?
  2. V

    JamiiForums Tanzania BURIANI Sultan Jamshid BIN Abdulla BIN Khalifa (1926 - 2024)

    Kwan wamakonde nao si waislam? Hata hao wazee ambao mliwahoji kwenye icho kitabu wote ni waislamu... Naona unajaribu sana kuficha ukwel uo kwa kusema eti wamakonde, Sema wamakonde waislamu... Ingawa hii nayo si kwel Ukisikiliza mahojiano na Shekhee Mahsin atasikia anasema kwa mdomo wake siku ya...
  3. V

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli tunaomba uondoke na wakurugenzi wako wa Sengerema na Buchosa hawa ni wezi wakupindukia.

    Mtoa maada kuhusu suala la mkurugenzi kujichanganya kwa taarifa mbalimbali hiyo ni kwel na ilo laweza kumtokea yeyote "rejea mkurugenzi yule wa kula mkoa wa mara ambaye alishindwa kutaja hata jina lake". Suala la 1.5b hiyo ni kweli ni malengo ya halmashauri kama ambavyo ni malengo ambayo...
  4. V

    JamiiForums Tanzania Ukumbi wa Arnautoglo safari ndefu ya Mwalimu Nyerere ilipoanzia

    Sasa kama walitaka Nyerere ashinde uchaguzi ule kwannn alishindana naye sasa?
  5. V

    JamiiForums Tanzania Hongera Naibu Waziri wa Maji Mhe. Juma Awesu

    Kaka Ujifunze kwanza taratibu za bajeti kisha ndo uongee hayo Sent using Jamii Forums mobile app
  6. V

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Maji; Wizara isiyo na weledi utekelezaji wa miradi

    Taratibu za ulipaji WA wakandaras WA Maji Unaujua lakin.. Chunguzen kwanza Kabla ya kuja Kuropoka tu umu ndani..
  7. V

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Maji; Wizara isiyo na weledi utekelezaji wa miradi

    Ndugu Unaongea jambo usilolijua hata kidogo..
  8. V

    JamiiForums Tanzania Penzi enzi za utineja 01

    Yaan.. Ni kwel kabisa!
  9. V

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar asema Mafia, Lamu pia ni sehemu ya Zanzibar

    Kuna zanzibar na pemba siyo unguja na pemva
  10. V

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar asema Mafia, Lamu pia ni sehemu ya Zanzibar

    Acha uongo wewe!
  11. V

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar asema Mafia, Lamu pia ni sehemu ya Zanzibar

    Mkuu sultani aliuza maeneo mengi sana! Pwani yote ilikuwa yake! Kijiji cha mzizima ambacho ndo chanzo cha dar sasa eneo lote la posta ya zaman kuanzia eneo la kanisa la lutheran had pale kanisa la st joseph.. Hivi unajua mapambano ya kwanza ya abushiri na wajerumani yalifanyika pale magogoni...
  12. V

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar asema Mafia, Lamu pia ni sehemu ya Zanzibar

    Ukisoma historia vizur utagundua sehemu kubwa ya pwani ilikuwa chini ya sultan hadi mwaka 1963 kabla ya uhuru wa kenya serikali ya uingereza ilikuwa inalipa kodi serikali ya sultan kwa ajili ya eneo la mombasa... Sultan aliuza maeneo mengi sana hasa kwa upande wa tanganyika kwa ujerumani kuanzia...
  13. V

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar asema Mafia, Lamu pia ni sehemu ya Zanzibar

    Kijana ukisoma historia ya dar-es-salaam vizuri hata eneo la kariakoo lilikuwa shamba la sultan kabla ya kuliuza kwa bwana wissman ambaye baadye likachukuliwa na serikali ya ujeruman kwa ajili ya kujenga makazi ya watu weusi
  14. V

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar asema Mafia, Lamu pia ni sehemu ya Zanzibar

    Siyo kweli... Tanganyika iliitwa tanganyika territory kabla hata ya mwaka 1884 soma historia vizuri.
Back
Top Bottom