Recent content by Vedasto Leopold

  1. Vedasto Leopold

    JamiiForums Tanzania Mfumo nzuri wa mauzo ya stationery

    Wadau mnaomiliki stationery tupeane uzoefu wa mfumo mzuri unaoweza kusaidia kwenye mahesabu. Ukizingatia stationery ina mambo mengi kama kuuza bidhaa, kutoa huduma kama copy, scanning, printing na sometimes Bei ya printing au copy zinatofautiana kati ya mtu mmoja na mwingine means profit...
  2. Vedasto Leopold

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa printer

    Habari wadau. Nina printer yangu, epson L3210, Nozzle check ya printer Iko safi, nimefanya power cleaning mara kadhaa Ila Bado ukiprint kuna mistari midogo inaacha. Mistari myeupe ambayo inakata kwenye maandishi. Sio coloured lines, unprinted lines.
  3. Vedasto Leopold

    JamiiForums Tanzania Ram za ddr2

    DDR2 DDR2 4gb unazo? Au zinakuwa kwenye 2Gb?
  4. Vedasto Leopold

    JamiiForums Tanzania Ram za ddr2

    Habari zenu wadau. Nahitaji ram ddr2, 4GB kwa ajili ya laptop, HP 6930p. Kama upo mwanza ni vema zaidi, Ila hata maeneo mengine. Au kama unaweza kushauri karibu
  5. Vedasto Leopold

    JamiiForums Tanzania Video ndefu facebook

    Ok. Facebook lite mwisho Ni 20MB
  6. Vedasto Leopold

    JamiiForums Tanzania Video ndefu facebook

    Nikishare link itaenda Kama video au link tu?
  7. Vedasto Leopold

    JamiiForums Tanzania Video ndefu facebook

    Habari zenu wataalamu. Naomba uzoefu jinsi ya kutuma video ndefu facebook za hata 1 hour, 30 minutes au zaidi. Maana nimetumia fb lite app ikapeleka 30s nikatumia fb web ikapeleka 1 minute. Ila pia quality inapotea Sana. Wataalamu mtupe maujuzi. Shukrani
  8. Vedasto Leopold

    JamiiForums Tanzania Mnaoamini kuwa uchawi upo mnatumia vigezo gani?

    Ni kwa sababu siku hizi watu mnaamini Sana uongo kuliko ukweli kiasi hata mkiambiwa ukweli hamuukubali especially kama unahusu mlengo usioufuatilia. Siku zote ujue kwamba katika Yale unayojua yapo mengine usiyojua, ndo hayo sasa. Endelea kujifunza
  9. Vedasto Leopold

    JamiiForums Tanzania Mnaoamini kuwa uchawi upo mnatumia vigezo gani?

    Ambacho haujui Ni kwamba hata hayo maradhi na ukosefu wa pesa yapo yanayosababisha na uchawi kwa asilimia kadhaa, naamini pia ktk science. Zipo cases nyingi mpaka za Benki kupotelewa na fedha kimiujiza. Na Kuna Benki moja Dar walikuwa wanapigwa pesa na mama mmoja mchawi amesimama mlangoni Ila...
  10. Vedasto Leopold

    JamiiForums Tanzania Window isiyokula bando sana

    Kweli mkuu Ila sasa tulio wengi unlimited bundle uwezo Bado mkuu. That's why tunaangalia namna ya kubalance
  11. Vedasto Leopold

    JamiiForums Tanzania Window isiyokula bando sana

    Naona wataalamu mko vizuri, Kuna wataalamu wengine wanashauri matumizi ya window 10 kwa 2GB Ram sio sawa, Ila kwa window 7 Ni sahihi. Hili nalo limekaaje wadau. Maana PC yangu Ni 2GB Ram au naweza kuiboost zaidi
  12. Vedasto Leopold

    JamiiForums Tanzania Window isiyokula bando sana

    Haina updates nyingi?
  13. Vedasto Leopold

    JamiiForums Tanzania Window isiyokula bando sana

    Ngoja niifuatilie
  14. Vedasto Leopold

    JamiiForums Tanzania Window isiyokula bando sana

    Shukrani kwa ushauri wa kitaalamu. Nimekuwa nikiwaza kuweka hiyo data limit kwenye pc, Ni software naweka au Kuna hiyo setting
  15. Vedasto Leopold

    JamiiForums Tanzania Window isiyokula bando sana

    Habari zenu wataalamu. Nimekuwa mtumiaji wa window 10 kwa muda mrefu sasa, changamoto ya kula bando sana imekuwa common. Labda wataalamu tushee mawazo kwa watumiaji wa version nyinginezo, 7, 8, 11 mambo yakoje. Mara nyingi ninapochek kwenye task manager anayekula bando langu Ni "system" labda...
Back
Top Bottom