Recent content by Ved

  1. V

    Maajabu uliyowahi yashuhudia Tanzania

    Babu Loliondo. Na kwamba leo hii Septemba 23 ndo mwisho wa dunia
  2. V

    Naulizia mafanikio ya somebody, Aldorf Tibikunda, Ex Mzumbe sec head prefect 2003/2004

    Hongera kwa kutoka kimaisha, huyu mtu achana nae na maisha yake, fanya yako. Labda kama huna la kufanya kwa vile umeshatoka na sasa kazi ni moja kufuatilia watu ambao hawajatoka kimaisha.
  3. V

    Kutoka Bungeni: Juma Nkamia ataka uchaguzi wa Rais ufanyike kila baada ya miaka 7

    Rwanda miaka saba na mambo yao safi, vp Marekani ni miaka mingapi na mambo yao yakoje? Tupe hoja sio tubadili kwakuwa nchi flani ina utaratibu huo. Miaka saba ni michache kwa kiongozi anayependa demokrasia, awapae watu uhuru kutoa maoni yao hata kama ni kumkosoa.
  4. V

    UTEUZI: Rais Magufuli amteua Anna Mghwira kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro

    Hapana katika makada wa chama tawala ni huyu mteule na chama chake (ACT=Akiba ya Chama Tawala)
  5. V

    Sitarudia kuitetea tena CCM. Nimechoka

    Aliyeteuliwa amekubali? Huyu Mama ni mmoja wa wagombea urais waliokuwa na hoja nzuri mno na alikiwakilisha chama chake vema. Nasubiri kuona anaenda kuapa kuwa mkuu wa mkoa ili niendelee kushangaa nguvu ya tumbo
  6. V

    Kuwanyima mikopo madaktari mwaka wa kwanza kwa kigezo cha kusoma private o level ni ubabaishaji

    Awamu hii inaweza ikatoa elimu kwa matabaka lakini kuna funzo (elimu) inatolewa kwa usawa na kwa kila mmoja; mwanamke au mwanaume, mwanafunzi, mtumishi au mkulima, kijana au mzee, wote wote. sisi wadanganyika linapokuja suala la kutumia nguvu ya kura tunachukulia poa hata kufikia kugawa kura kwa...
Back
Top Bottom