Recent content by veca

  1. V

    Rwanda wanajenga kinu cha Nyuklia; sisi bado tuna maono ya kujenga madarasa miaka 60 ya uhuru

    kwamba wewe ni genius kiasi hicho....Rwanda inajenga kinu haijui itapata malighafi wapi!?
  2. V

    Rwanda wanajenga kinu cha Nyuklia; sisi bado tuna maono ya kujenga madarasa miaka 60 ya uhuru

    haya ni mawazo ya kizamani, hivi unajua Qatar ina ukubwa gani!? ukubwa wa nchi sio kigezo cha kuendelea...brain na vision ya viongozi tu
  3. V

    Mashtaka ya Ugaidi: Shujaa wa 'Hotel Rwanda', Paul Rusesabagina akutwa na hatia. Ahukumiwa kifungo cha miaka 25

    Yeye si aliunda kundi la waasi na alikubali mwenyewe waliua watu, hapo anaonewa vipi, hakuna serikali duniani inaweza kukubali huo upuuzi, usalama wa watu ni priority ya nchi yeyote Duniani....mengine ni propaganda tu.
  4. V

    Tetesi: Kuna tetesi kwamba Kiwanda cha cement CIMERWA huko Rwanda hatarini kufungwa kwa kukosa makaa ya mawe kutoka nchini Tanzania

    mfano wa kiwanda kilichokufa? nyie hamjafunga lakini serena, protea hotel etc zimefungwa.
  5. V

    Tetesi: Kuna tetesi kwamba Kiwanda cha cement CIMERWA huko Rwanda hatarini kufungwa kwa kukosa makaa ya mawe kutoka nchini Tanzania

    A few weeks ago, Rwanda’s sole cement producer, CIMERWA Ltd announced that it had made about Rwf4.5 billion francs in profit, a 24% margin, after several years of shifting difficult gears to find a profitable momentum. tuendelee kujifukiza tu, bila kusahau ndimu na tangawizi.........by the way...
  6. V

    Mwananchi: Kwenye daftari la mazishi ya vifo vya COVID19 Jina la babangu lilikuwa namba 256 (Amana Hospital-Ilala)

    Kwanini baadhi ya wtz ni wajinga kasi hiki!..hata maisha yako unaingiza siasa...huoni kama serikali ina wajibu wa kukupa taarifa
  7. V

    Rais angalau awe ameshakuwa Waziri wa Mambo ya Nje au Balozi; kwa hili Nyerere aliona mbali

    vzr kwamba unalijua, hilo la lini nimejiunga umekosea...watu wana account zaidi ya moja humu
  8. V

    Rais angalau awe ameshakuwa Waziri wa Mambo ya Nje au Balozi; kwa hili Nyerere aliona mbali

    Tafuta kamusi dogo..Mimi najua ndo maana nimelitumia
  9. V

    Rais angalau awe ameshakuwa Waziri wa Mambo ya Nje au Balozi; kwa hili Nyerere aliona mbali

    exposure nayo inahusika mtu kasoma chekechea mpaka phd kibongo bongo unategemea nini.....anawaza ki chato chato tu
  10. V

    Msando: Ukijiunga na chama kingine haitaji barua. Mwambe anaingia bungeni kwa chama gani?

    Hivi ni Nani anaepaswa kuilinda katiba? Kwanini tunaendelea kuona uvunjwaji wa katiba waliyoapa kuilinda? Katiba inasema mtu hawezi kua mwanachama wa vyama viwili....
  11. V

    Mtazamo, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Serikali na Wananchi kuhusu Ugonjwa wa Corona - COVID-19

    Kwani serikali umesikia popote ikisema Haina hela
  12. V

    Mbowe: Ni ujinga nchi kufikiria ina uwezo wa kukabiliana na COVID-19 kwa utaratibu wake wa ndani bila kujifunza kutoka kwa waliotangulia mapambano

    marekani mwenyewe alipewa msaada itakua sisi......mficha maradhi..............
  13. V

    Tanzia: Wakili Gaudiosus Evalister Ishengoma afariki dunia akiwa Hospitalini Aga Khan

    Ikiua baba yako na mama yako ndo utajua kama ipo...tuache kushabikia ujinga.
Back
Top Bottom