Siyo imechaka kwan shulen ulikimbia umande au ulikuwa unasubilia kauli ya mbiu ya huyo baba yako kuwa mtasoma kuanzia darasa la 1 had form six bule ndo na ww ukasome?
Pyeeeeee! Wasaliti wakubwa nyiye Leo Dr slaa mnamlinganisha na huyo fisad wa nchi mmewatoa watu wenye hakili zao mmebakiza pumba mtakuja kulia na kusaga meno yenu barazan kwa rowasa kaeni na mfa maji wenu huyo ukawa hoyiiiiiii
Umeona wanahangaika sana hao wana DCM sku ya sku watalia na kuombole hawajui mpango wa rowasa ni kuvunja ukawa na kuitupilia mbali kabisa Tunasubilia jembe letu zito Lije lichimbue mizizi yote pyeeeeeee. Chadema ziiiiiiiiii
Bora nimchague magufuri anayehonga Nyumba kuliko kumchagua mwizi Richmond yy epa yy dawasco yy kwa hiyo kama alikubali kufanywa mbuzi wa kafara na wakat hajausika itakuwaje atakapo kuwa madarakan na akashauliwa auze nchi c ndo atatufanya kuwa mbuzi wa Kafara kama yy alivyokubari kuwa mbuzi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.