Recent content by VaxTz

  1. VaxTz

    Kilimo cha Vanilla nchini Tanzania

    Sawa boss, toa miche na ushauri pia
  2. VaxTz

    China Corona imepungua sana nao wanadai Mungu kawasaidia

    Itakua huyo mungu wao wa kipagani mana hata wahindi pia hawaamini ila wana mungu wao wanaomwamini.
  3. VaxTz

    Clearing and Forwarding Manager at MeTL

    Eeeh like serious meneja analipwa laki tatu, duh.
  4. VaxTz

    Wale wadau wa mziki mkubwa kwenye gari, SONY XPLOD for sale

    Fanya 300 boss, kwa zote mbili very fair kabisa, mana buster peke ake inafika 250
  5. VaxTz

    Wale wadau wa mziki mkubwa kwenye gari, SONY XPLOD for sale

    Watu kama ninyi muhimu sana, problem solved.....nabadilisha UZI (unaweza tumika pia na magetoni)
  6. VaxTz

    Wale wadau wa mziki mkubwa kwenye gari, SONY XPLOD for sale

    Geto huwezi kuweka, special kwa ajili ya magari.
  7. VaxTz

    Wale wadau wa mziki mkubwa kwenye gari, SONY XPLOD for sale

    Karibu mkuu, nakucheki pm..
  8. VaxTz

    Wale wadau wa mziki mkubwa kwenye gari, SONY XPLOD for sale

    Mziki huo na buster yake, Buster watts 2400 Mziki watts 1800 Zote kwa pamoja 350,000 tshs tu Location Dar ea salaam Contact Whatsapp tu 0622 869965
  9. VaxTz

    Wanaume tuwe makini kudate na wadada wa kuanzia 27+

    Dah..! Huu uzi noma, naona vibibi vime panic nomaa, naunga mkono hoja.
Back
Top Bottom