Recent content by Vatcan

  1. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume wangu haniridhishi kwenye tendo

    Tumsifu Yesu Kristu? Milele amina,hizo ni hisia zako lakini dada yangu haujafanya Hekima hata kidogo, kwanza haujatueleza kama mlishakaa mkalizungumza hilo swala pamoja na mumuwe, kwanza mmefunga Ndoa ya kanisani? hilo tatizo lipo kwa wanaume wengi sio mumewe tu, ni jambo ambalo mngetafuta...
  2. V

    JamiiForums Tanzania Mzee Jaji Warioba ndani ya Dk 45 ITV

    nipo naangalia hapa.sijui kwann ccm wanataka kupoteza amani iliyopo. Nawashangaa hata vjana wa ccm na akili zao wamepitwa hadi na huyu mzee.
  3. V

    JamiiForums Tanzania kiwanja kinauzwa kibaha kongowe.

    kama huko mbali hvo 5ml je mbezi kimara itakuwa ngapi? Kuwa realistic man, mt 15 kwa 15, n kwa matmz gan?
  4. V

    JamiiForums Tanzania Tatizo la miguu kuwaka moto (neuropathy): Ushauri, Kinga na Tiba

    Ndugu zangu habari za jioni? Naombeni dawa ya kutibu miguu yangu inapelekea hadi kiuno kuuma na mwili kuchoka, takribani miaka kumi sasa, nimeenda kila hospital bila mafanikio. Mzizi Mkavu na wenye uzoefu nisaidieni.
  5. V

    JamiiForums Tanzania Vipele sehemu za siri

    atapona tu ajtahd kupambana na dawa.
  6. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume hanifikishi kisawasawa

Back
Top Bottom