Recent content by vasilius

  1. V

    Tetesi: Paul Makonda kuwa Makamu wa Rais 2020/2025

    Kwa mujibu wa katiba ya 1977 iliyofanyiwa marekebisho mara ya mwisho mwaka 2000 No. 47 ibara ya 3 niliyonayo inasema hivi "Mtu atateuliwa kugombea kiti cha Makamu wa Rais kwa kufuata kanuni kwamba endapo Rais wa Jamhuri ya Muungano atatoka sehemu moja ya Muungano, basi Makamu wa Rais atakuwa ni...
  2. V

    Tafakuri ya Wasiojulikana

    Nimekupata sana kaka. Andiko lako linafikirisha sana, bahati mbaya sikupata kulisoma hapo kabla. Andiko lako linaleta tafakuri nyingine HIVI VYOMBO VYETU VYA USALAMA VIPO KWA AJILI YA TANZANIA AU WATU (au chama) MAALUM? Kwa nini nauliza hivyo kwa sababu najiuliza hivi mtu wa CHADEMA...
  3. V

    Tafakuri ya Wasiojulikana

    Kabisa
  4. V

    Tafakuri ya Wasiojulikana

    Kila kazi ina taratibu zake na sheria zake. Sijajua unamaanisha kazi ipi? Ila kama kazi ya utekaji basi sikubaliani na wewe kama ni kazi kama kazi nyingine. Ila kama unamaanisha jeshi la polisi nakubaliana na wewe ile ni kazi kama kazi nyingine. Ninavyojua bila shaka pamoja na majukumu mingine...
  5. V

    Tafakuri ya Wasiojulikana

    Haya mambo kwa mtu kama wewe huwezi kudadavua unachoweza ni kutukana tu. Hivi mtu lugha yako ya taifa unashindwa kuandika vizuri, unashindwa kutofautisha kati ya 'r' na 'l' katika maandishi utaweza kupambanua mambo kama haya. Kwanza toka huko katika hoja za matusi halafu ujifunze kuandika...
  6. V

    Tafakuri ya Wasiojulikana

    Hivi mpaka leo kuna mtu anajifanya hawafahamu hao wanaoitwa "WASIOJULIKANA"? Mimi nafikiri ni sifa tu watu wameamua kuwapa. Ukweli ni kwamba wanajulikana kwa sababu ya tabia za kuogopa binadamu wenzetu kuliko aliyetuumba basi tumeamua wawe hawajulikani hata kama wanajulikana. Katika jambo...
  7. V

    Tafakuri: Hatma ya Tanzania mikononi mwa Watanzania

    Unachoongea ni sawa na kupigana na kivuli chako mwenyewe.
  8. V

    Tafakuri: Hatma ya Tanzania mikononi mwa Watanzania

    Upinzani ni nchi gani? Bahati mbaya mimi sipo huko nipo Tanzania. Kama ilikuwa unamaanisha vyama vya siasa vya upinzani pia bahati mbaya mimi sio mwanachama wao. Ninaumizwa na Tanzania inavyoendeshwa halafu tunategemea matokeo chanya. Naamini hata hao wapinzani siku wakichukua Dola na kufanya...
  9. V

    Tafakuri: Hatma ya Tanzania mikononi mwa Watanzania

    Siamini kama wakati mwingine utulivu huletwa na kuridhika. Kuna wakati utulivu huletwa na kutojitambua. Naheshimu mawazo yako lkn hata sasa wapo wengi tu wasioridhika na bado wametulia. Mimi situmii nguvu sana kuandika, nguvu yangu ya kuandika jambo km hili ni sawa na chozi la samaki ktk bahari...
  10. V

    Tafakuri: Hatma ya Tanzania mikononi mwa Watanzania

    Tanzania haiwezi kuendelea na kamwe haitoendelea muda wa kuwa CCM ndio inaongoza Dola. Kwa nini nasema hivi? Kwasababu Dola imefunga ndoa na CCM na CCM imefunga ndoa na Dola. Kumbuka mtoto wa nyoka ni nyoka. CCM wanajiona wao ndio wenye Dola na waliopo kwenye Dola wote wanajiona ni CCM...
Back
Top Bottom