mgombea zenji inasemekana ni yule waziri ambaye ni mtoto wa raisi mstaafu ambaye siku hizi huenda ikulu kumsifia raisiKwa samia kuwa mgombea zenji inawezekana ila kwa Makonda umebugi sana,
Yaan hii tetesi hata Magufuli atakuwa anaishangaa maana ataiona hapa JF haha, itamfanya ayaache mafaili yanayomzonga kitandani kwanza aitafakari