Nimeyaona majina hayo.. Na hiyo image nimeichukua mwenyewe..
Kicha kinasomeka hivi, MAJINA YA WALIMU NA WASIOKUWA WALIMU WALIOKUBALIWA KUHAMA NJE YA MKOA, sasa kinachosubiriwa ni kupitishwa na TAMISEMI..
Panaeza kuwa na ukweli kwamba mkoa wa Kagera umetuma majina hayo 92..
Kwani hayo ni matakwa ya Katibu Tawala wa mkoa husika..
Tatizo mtoa mada hakufafanua vizur.. Watu walishindwa kujua hayo majina yametoka tamisemi au ndiyo yaliyopelekwa TAMISEMI, ki msingi ambae kafika kwenye ofisi za...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] buhanda umenichekesha kwel.. Mm nilishataka kuanza kufanya vitu hizo nikashtuka, tena watu wanatamanisha kinoma..
Cha msingi ni kuwa na subira.. Mwisho wa siku tutasahau kama kila siku tulikua tunachungulia New updates humu na TAMISEMI..
Sio kwel.. Swala la kuhamisha watumishi halisubiri ajira mpya,
Ni mpaka uhakiki wa watumishi hewa ukamilike..
Sio kwel.. Swala la kuhamisha watumishi halisubiri ajira mpya,
Ni mpaka uhakiki wa watumishi hewa ukamilike..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.