Recent content by Vannele

  1. Vannele

    Hivi inakuwaje kwenye kila familia kuna mtu mmoja anayesumbua sana?

    Dah... Na kwetu pia yupo... sister ni kimeo aisee
  2. Vannele

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Manispaa ya Musoma nije Morogoro, pwani au Dar es Salaam
  3. Vannele

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Nipo Manispaa ya Musoma... Tunaweza kubadilishana?
  4. Vannele

    Shule nzuri ya nursery ya kiislam

    Ipo maeneo gani mkuu? Na ada zao zipoje?
  5. Vannele

    Shule nzuri ya nursery ya kiislam

    Ok... Ahsante mkuu
  6. Vannele

    Shule nzuri ya nursery ya kiislam

    Ada zao sh ngapi mkuu?
  7. Vannele

    Shule nzuri ya nursery ya kiislam

    [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] jamani!!!!
  8. Vannele

    Shule nzuri ya nursery ya kiislam

    Habari zenu wadau... Naomba kufahamishwa shule nzuri ya kiislam iliyopo Dar es Salaam, location na ada zake.
  9. Vannele

    Operation ya vinyama puani na tonses

    Nenda Regency... Mie mwanangu alifanyiwa hapo alikuwa na mwaka mmoja na miezi mitatu tu na yupo fresh tu...
  10. Vannele

    Kupanda kwa madaraja

    Ukiwa masomoni kisheria huwezi kupanda daraja unless afisa elimu na wengineo watumie utu tu...
  11. Vannele

    Naomba kufahamishwa...

    habari zenu wapendwa naomba kufahamu hospitali nzuri inayoweza kupanga vyema meno yaliyokaa vibaya pamoja na gharama na je naweza kutumia bima kugharamia matibabu hayo?
  12. Vannele

    Naomba kufahamishwa...

    habari zenu wapendwa naomba kufahamu hospitali nzuri inayoweza kupanga vyema meno yaliyokaa vibaya pamoja na gharama na je naweza kutumia bima kugharamia matibabu hayo?
  13. Vannele

    Kuna Uwezekano wa kusoma kuanzia cheti ukafika Degree?

    Inawezekana mdogo wangu...mie pia nilianza na certificate sasa hivi nipo chuo kikuu mwaka wa pili na mkopo pia ninao.
  14. Vannele

    Kajala, mwanae wazua "GUMZO" Mlimani city

    zero tena...billz zero brain ndo wanatamba...wenyewe walikuwa wanapaita kwa kakobe...
Back
Top Bottom