Recent content by vanini

  1. V

    JamiiForums Tanzania Mbunge Godwin Kunambi amvaa Halima Mdee bungeni

    Kweli kabisa, upo sahihi, hakuna wa kibisha
  2. V

    JamiiForums Tanzania Mbunge Godwin Kunambi amvaa Halima Mdee bungeni

    Wote ni Wabunge wa viti maalum hadi spika kwa hisani ya Mwendazake
  3. V

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Wakuu wa Wilaya ambao wako kwenye hati hati ya utenguzi

    Sasa huyo Kenani Kihongosi wa Arusha ana shida gani?
  4. V

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mitandao ya kijamii Tanzania yawa restricted. YouTube, WhatsApp, Twitter, JamiiForums na Telegram zimeguswa - Oktoba 27, 2020

    Nami pia nina tatizo kama lako. Twitter haifunguki kabisaaaa
  5. V

    JamiiForums Tanzania Niliwahi kusema, CCM wanapenda namba lakini hawajui hesabu

    Wanapata wapi nguvu ya kuja kupingana na ukweli?
  6. V

    JamiiForums Tanzania GE2020 John Mnyika: Hatujateua majina ya wabunge Viti Maalum. Tunafuatilia Ofisi ya Spika na tukithibitisha hujuma au usaliti hatutasita kuchukua hatua

    Sasa ndio nimeanza kuelewa kwanini Mbowe hataki kuachia Uenyekiti wa chama. Mapandikizi ndani ya Upinzani ni mengi mno.
  7. V

    JamiiForums Tanzania Najuta kuipigania CHADEMA na upinzani Tanzania

    Sasa ndio nimeanza kuelewa kwanini Mbowe hataki kuachia Uenyekiti wa chama. Mapandikizi ndani ya Upinzani ni mengi mno.
  8. V

    JamiiForums Tanzania Habari Mbaya: Mkurugenzi wa Meatu achomewa nyumba yake, yote yateketea

    Kuna Mkurugenzi ambaye sio Mbogamboga?
  9. V

    JamiiForums Tanzania Baada ya spana nzito kutoka kwa Lissu, vitambulisho vya wamachinga kuwekwa picha

    Sasa kama yanajulika miaka yote. Mlikuwa wapi kuyatekeleza?
  10. V

    JamiiForums Tanzania Kibiashara, Vodacom kupitia M-Pesa wamejiua bila kujua, Songesha imewapotezea wateja

    Binafsi walinikwaza sana kunikata pesa mara mbili zaidi ya niliyosongesha. Alafu kunirudishia ndio imekuwa story hadi leo. Kila nikiwapigia simu ni sound tu. Oohooo tumeshalifikisha idara husika wanalifanyia kazi. Sijui pesa walipeleka kwenye kampeni za ccm?
  11. V

    JamiiForums Tanzania Njooni tukumbuke nyakati ngumu tulizowahi pitia

    Poleni sana sana ndugu zangu. Maisha ya Bongo wengi tumekuwa kabda ya umri.
  12. V

    JamiiForums Tanzania Njooni tukumbuke nyakati ngumu tulizowahi pitia

    Daaah!! Nimepita kwenye changamoto, lakini zako kiboko. Pole sana.
  13. V

    JamiiForums Tanzania GE2020 Niliyoyaona kwenye Uchaguzi huu yanatisha

    Kumbe ndio maana Magu na wana CCM wenzie hawana furaha. Watu walifunga kuombea Uchaguzi. Hii kitu haitapita bure, kwa huyu MUNGU tunayemlilia kila siku. Haki ya mtu haipotei, inacheleweshwa tu.
  14. V

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mbeya: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

    Mbeya hamjawahi kutuangusha.
  15. V

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tahadhari kuhusu Uwepo wa Vituo Feki/ Bubu/ Hewa vya Kupigia Kura

    Umenena kwakweli
Back
Top Bottom