Uchaguzi 2020 Tahadhari kuhusu Uwepo wa Vituo Feki/ Bubu/ Hewa vya Kupigia Kura

Acha na vituo feki...kuna mzigo haswa wa kura feki..mzigo wa kutosha..yani unakuta mzigo una kartasi kama laki mbili yana tiki za çcm..huu wameshauandaa kureplace kura za upinzani.

Na Wana mabohari yao wanahifadhi ndo maana NEC wanazuia watu kulinda kura ili wafanye vema madudu yao.

Uchaguzi huu muhujumu wa kwanza ni Nec! Wakifuatia wagombea.

NEC wameruhusu rafu,wameruhusu hujuma.wamenunuliwa.
Yako wapi hayo mabohari tuyapige kibiriti?
 
Acha na vituo feki...kuna mzigo haswa wa kura feki..mzigo wa kutosha..yani unakuta mzigo una kartasi kama laki mbili yana tiki za çcm..huu wameshauandaa kureplace kura za upinzani.

Na Wana mabohari yao wanahifadhi ndo maana NEC wanazuia watu kulinda kura ili wafanye vema madudu yao.

Uchaguzi huu muhujumu wa kwanza ni Nec! Wakifuatia wagombea.

NEC wameruhusu rafu,wameruhusu hujuma.wamenunuliwa.
Wakigundulika dawa ni kuwachoma moto.
 
Jiwe ametufikisha hapa anaogopa uchaguzi wa haki kuliko hata kumuogopa Mungu.
Mkuu usishangae sana. Mtumishi wa SHETANI hawezi kumuogopa Mungu hata kidogo. Kuwapiga watu risasi hadharani, kuwapoteza watu na kutumia polisi kuua raia wasiokuwa na hatia, huo ni utumishi wa shetani. Kwa hiyo, hawezi kumuogopa Mungu kwa kuwa anamtumikia shetani siku zote za maisha yake.
 
Huu utakuwa uchaguzi wa hovyo kupindukia!
Mkuu hali kama hii ndiyo inayozalisha uadui,visasi uasi na ugaidi.
Inafika mahali ukandamizaji wa haki ukizidi (misemo ya kibinaadam) nyongo hupasuka.
Ikifikia hapo tu basi hata uje na risasi za moto,mtu anaona bora afe akapumzike na maonevu

Wapo askari polisi,jkt,magereza,jwt na Tiss wanahofu ya Mungu,wanaona na kutoridhishwa na maonevu na ukandamizwaji wa haki,nao wanaumia.

Wengine ni wakubwa kivyeo,ivi siku nyongo ikipasuka wakashawishiana,unadhani itakuwaje?
Hali kama hii hupllekea mtu au watu kusema potelea mbali lolote na liwe au tukose wote wakaingiza magaidi kwanjia yoyote,inadhani panausalama?

Kibaya zaidi na cha kipumbavu zaidi,ccm na wafuasi wao,wanaona na kuamini kuwa Tanzania kiulinzi na usalama hata marekani,mrusi na mwisrael tunawashinda.
TENDAKO NI KUBAYA ACHA WASHABIKIE
 
Hata marekani wanachi wanachagua ila kikundi cha watu wasiozidi 400 wanapiga chini matakwa ya mamilioni ya wananchi. Yote hii ni kwa maslahi ya nchi.
Kama takwa hili liko kwenye katiba yao hakuna shida.Tabu ni kwamba nchi ya Tz hatuna kifungu hicho katika Katiba yetu.
 
Kwa jinsi hali halisi inavyoenda ni wazi mambo ni mengi na muda ni mchache sana (siku nne zimebaki).

Kimazoea tunaweza kudhani 28 October ndio mwisho wa shughuli ya uchaguzi lakini ukifumbua jicho la tatu inaonekana ndio utakuwa mwanzo wa uchaguzi mkuu!
Umenena kwakweli
 
Acha na vituo feki...kuna mzigo haswa wa kura feki..mzigo wa kutosha..yani unakuta mzigo una kartasi kama laki mbili yana tiki za çcm..huu wameshauandaa kureplace kura za upinzani.

Na Wana mabohari yao wanahifadhi ndo maana NEC wanazuia watu kulinda kura ili wafanye vema madudu yao.

Uchaguzi huu muhujumu wa kwanza ni Nec! Wakifuatia wagombea.

NEC wameruhusu rafu,wameruhusu hujuma.wamenunuliwa.
wafanye wafanyayo lkn wajue kuwa huu uchaguzi lazima uondoke na mtu ambae hatutajua kakimbilia wapi... kuna jicho kuu lipo makini kumulika uhuni wa MEKO na timu yake. KITAKACHO MKUTA BAADA YA KUVURUGA CHAGUZI ASILAUMU MABEBERU.
 
Nimeona Video clip inayomwonyesha Mgombea Ubunge wa CHADEMA Nyamagana (John Pambalu) akishtukia uwepo wa kituo Feki/Bubu/Hewa Jimboni humo.

Namba ya utambulisho wa Kituo hicho haikuwepo kwenye orodha ya Vituo halali vya Kupigia Kura Jimboni hapo na wala Tume haikuapisha Mawakala wa Kituo hicho kinachodhaniwa kuwa ni Kituo Feki/Bubu/Hewa.

Hali hii ya uwepo wa Vituo Feki/Bubu/Hewa huenda ipo nchi nzima. Hivyo ni muhimu wagombea wote hasa wa Upinzani wahakiki idadi na namba za utambulisho wa kila Kituo cha Kupigia Kura katika maeneo Yao Ili kudhibiti udanganyifu wa Aina hii. Katika mazingira ya sasa, haiwezekani uwepo wa kituo Feki/Bubu/Hewa ukawa ni bahati mbaya.

Tundu Lissu, Mnyika na Zitto wahimizeni wagombea na viongozi wenu nchi nzima kuhakiki na kubaini Vituo Feki/Bubu/Hewa Ili kuzuia goli la Mkono.
Haki haki haki
 
Ujumbe huu umfikie kila mtu
 
Acha na vituo feki...kuna mzigo haswa wa kura feki..mzigo wa kutosha..yani unakuta mzigo una kartasi kama laki mbili yana tiki za çcm..huu wameshauandaa kureplace kura za upinzani.

Na Wana mabohari yao wanahifadhi ndo maana NEC wanazuia watu kulinda kura ili wafanye vema madudu yao.

Uchaguzi huu muhujumu wa kwanza ni Nec! Wakifuatia wagombea.

NEC wameruhusu rafu,wameruhusu hujuma.wamenunuliwa.
Thibitisha.
 
Hata marekani wanachi wanachagua ila kikundi cha watu wasiozidi 400 wanapiga chini matakwa ya mamilioni ya wananchi. Yote hii ni kwa maslahi ya nchi.
Katiba ya Marekani iko hivyo, katiba yetu haiko hivyo. Baada ya uchaguzi huu tushughulike na KATIBA mpya, tunaendeleza rasimu ya Warioba bado tunayo na hata hayo ya watu wachache kuamua mstakabari wa nchi unaweza kuyaweka huko kama yatakubalika na wananchi. Pia tushughulike na TUME HURU YA UCHAGUZI. Haya yakifanyika, uchaguzi wa 2025 na zingine zitakazo fuata, hutasikia hii maneno.
 
Nimeona Video clip inayomwonyesha Mgombea Ubunge wa CHADEMA Nyamagana (John Pambalu) akishtukia uwepo wa kituo Feki/Bubu/Hewa Jimboni humo.

Namba ya utambulisho wa Kituo hicho haikuwepo kwenye orodha ya Vituo halali vya Kupigia Kura Jimboni hapo na wala Tume haikuapisha Mawakala wa Kituo hicho kinachodhaniwa kuwa ni Kituo Feki/Bubu/Hewa.

Hali hii ya uwepo wa Vituo Feki/Bubu/Hewa huenda ipo nchi nzima. Hivyo ni muhimu wagombea wote hasa wa Upinzani wahakiki idadi na namba za utambulisho wa kila Kituo cha Kupigia Kura katika maeneo Yao Ili kudhibiti udanganyifu wa Aina hii. Katika mazingira ya sasa, haiwezekani uwepo wa kituo Feki/Bubu/Hewa ukawa ni bahati mbaya.

Ikumbukwe kwamba uwepo wa Vituo FEKI/HEWA/BUBU ni kiashiria Kikuu cha KUWEPO Kwa Kura FEKI sehemu (in the form of hard copy or soft copy). Hivyo kudhibiti vituo FEKI ni kudhibiti Kura FEKI na ushindi FEKI.

Tundu Lissu, Mnyika na Zitto wahimizeni wagombea na viongozi wenu nchi nzima kuhakiki na kubaini Vituo Feki/Bubu/Hewa Ili kuzuia goli la Mkono.
Ccm imeshakufa
 
Back
Top Bottom