Recent content by Vangigula

  1. Vangigula

    CHADEMA hamjatutendea haki watanzania kumpa Uenyekiti wa CHADEMA taifa Lissu ambaye familia yake yote iko nje mkamuacha Mbowe, mtuombe msamaha

    Lakini si ana wazazi wake hapo Ikungi? Ana kaka na dada zake hapahapa TZ. Au kwenu familia ni mke na watoto tu?
  2. Vangigula

    Mrejesho: Mke wangu anataka kuandika jina lake nyumba niliyoijenga

    Mimi sio mwanasheria mkuu, na pia sina watoto nje ya ndoa. Ndani ya ndoa niko na vijana 2, mmoja yuko na miaka 7 na mdogo anakimbilia 4. Dini zetu pia zinatufunga kuwa na mke mmoja ( though nimeshachepuka mara kadhaa). Kwa swali lako, kuna issue za dini, mila zenu na makabila yenu zinaweza...
  3. Vangigula

    Mrejesho: Mke wangu anataka kuandika jina lake nyumba niliyoijenga

    😄😄😄. Thanks mkuu. Kuandika tu jina la wife kwenye uwanja/nyumba? Besides, she is my wife, not yours. Ninachokigundua kwa kusoma baadhi ya responses humu ni kwamba I married the rarest kind of breeds. Itabidi nianze kumuangalia kwa jicho la kipekee, maana ni kama I've been taking her for granted.
  4. Vangigula

    Mrejesho: Mke wangu anataka kuandika jina lake nyumba niliyoijenga

    Mkuu, japo ni uzi wa siku nyingi kidogo, but will try to answer you shortly. Niko kwa ndoa, mwaka huu May tunafunga 10 years. Ukijumlisha na 4+ years ya uchumba, ni almost 15 years ya mahusiano. Ndani ya muda wote huo, hajanipa sababu ya KUTOKUMUAMINI. Haingii kwenye kundi la pisi kali zenu...
  5. Vangigula

    Ni wakati muafaka serikali kufunga uvuvi wa samaki katika ziwa Victoria kwa muda wa miezi sita kuwezesha samaki kuzaliana

    Naunga mkono hoja. Hili ziwa kama juhudi za makusudi hazitofanyika, litabakia na maji ya kunywa tu.
  6. Vangigula

    About to fall in a trap

    I'm a man. Pastor aliyetupa mafundisho ya ndoa 10 years ago alisema, ni afadhali kuvunja uchumba kuliko kuvunja ndoa. Japo utalaumiwa, lakini kwa upande mwingine unamsaidia sana mwanaume mwenzetu. Imagine miaka ambayo angeteseka.... Njia rahisi but effective ninayoikubali ni kumvizia afanye...
  7. Vangigula

    Kwanini ni Tanzania pekee katika EAC ndiyo haijaruhusu uraia pacha kwa watu wake?

    Kwani, kama nchi tungepata hasara gani kama tungeruhusu uraia pacha?
  8. Vangigula

    Nina kituo kinacholea na kusaidia watoto wenye mahitaji maalumu, nilikuwa naomba kujua njia za kupata wafadhili ili kusapoti kituo changu

    Dah! Pamoja na nia yako njema ya kutaka kusaidia watoto wenye uhitaji maalumu, lakini pana walakini kidogo. Unasema kimeanzishwa majuzi tu, na leo umeshafloat, je ulikianzisha kwa mhemuko? Toka kukianzisha mpaka sasa ni akina nani walokupa support? Wakati unakianzisha uliwaza picha ya kituo...
  9. Vangigula

    Hii ndiyo vita ya kisiasa, tujifunze kuwa na adabu

    Masahihisho kidogo. Waliozuiwa kwenda America sio watu weusi, ni wahamiaji haramu ukijumlisha na weupe wengine kutokea pande zote za dunia. Waliokatiwa misaada sio Africa tu, USAID iko Asia, Latin America, Africa etc. Mambo ya NWO ni next level kwako
  10. Vangigula

    International School of Tanganyika watoto wanaenda shule kama Kawa ila Ems na Kayumba wote nyumbani, ndio mzazi ujue tofauti ya private na public

    Ingawa primary tulimaliza 56, kulikuwa na wenzangu watano tu tuliokuwa karibu na mmoja tu kama rafiki. Mtaani nimekulia kijijini, free range, lakini nilikuwa na marafiki wachache, hawazidi wanne. Point yangu kubwa, mtoto hahitaji watoto wengi kufurahia utoto wake, maana hata kati ya hao wengi...
  11. Vangigula

    International School of Tanganyika watoto wanaenda shule kama Kawa ila Ems na Kayumba wote nyumbani, ndio mzazi ujue tofauti ya private na public

    Uzuri, I know that what I'm doing is good for my kids. Nilijaribu kukuonyesha the positives of EM, but you seem a die hard fan of your own theories. Anyway, the beautiful thing about our world is our diversity. Tukubaliane tu kuwa sumu kwako inaweza kuwa dawa kwa mwingine.
  12. Vangigula

    International School of Tanganyika watoto wanaenda shule kama Kawa ila Ems na Kayumba wote nyumbani, ndio mzazi ujue tofauti ya private na public

    Niko na vijana 2, mmoja anaturn 7 years this February na yuko STD 3, na mdogo wake ana miaka 4, yuko kindergarten. Wanasoma EMS. Sababu zangu za kuwapeleka EM 1. Mazingira ya shule. Kabla ya kuwapeleka shule tuliitembelea kujiridhisha na mazingira. Wana mazingira safi. 2. Idadi ya wanafunzi...
  13. Vangigula

    Nimekuta hizi dawa kwa mkoba wa Dadangu. Kuna anaejua ni aina gani ya Dawa

    Binafsi sijui vinatibu nini, lakini ulipaswa kushukuru dada yako kwa kujali afya yake kwa kujitambua na kutibu whatsoever hizo dawa zinatibu.
  14. Vangigula

    Matumizi ya Service Road barabarani

    Kwa barabara ya Arusha - Moshi, tokea Mianzini hadi Tengeru, hizo service roads ndio njia halali za daladala. Labda kama za Arusha zina jina jingine
  15. Vangigula

    Malezi ya watoto sikuizi mabaya sana

    Times have changed brethren.
Back
Top Bottom