Recent content by VANDYBLEAZE

  1. VANDYBLEAZE

    Condom inepasuka

    Asubuhi hii upo kwenye uzinzi,Mungu Atusamehe zambi zetu
  2. VANDYBLEAZE

    Natafuta mtu wa kuniandikia story(content) nisimulie kwa sauti kwenye tiktok na youtube bila malipo kama beginner

    Heading inasomeka hapo juu, mimi kijana Mtanzania mwenzenu. Nimepitia baadhi ya threads humu nimeona baadhi ya watu wakiandika story mbali mbali au taarifa ambazo zinavutia. Nimekuwa content creator wa TIKTOK na YOUTUBE kama msimulizi wa historia na current issues ambazo zinabamba lakini naona...
  3. VANDYBLEAZE

    Inawezekana nilikosea kuoa, nampiga bao tano lakini haridhiki.

    Wataalamu ni kiumbe hai gani hapa duniani anatumia muda mrefu namna hiyo 50+ minutes kwenye sex ukiachana na ndgu yetu,,,naomba nijuzwe tafazali
  4. VANDYBLEAZE

    PreGE2025 Kanda ya Kusini: Shughuli za Ndanda zasimama mapokezi ya Tundu Lissu

    Tukumbuke wengi wao hapo no wakina mama(wanawake) kanga na tshet zinaweza kuwa kitu kikubwa kwao wakasahau yote CCM hawajalala
  5. VANDYBLEAZE

    Lindi ni Mji Mkongwe Uliosahaulika

    Ramadhan Mubarak Baada ya kuimaliza mkoa wa pwani unaingia mkoa wa lindi kwa kuanza na wilaya ya kilwa Safari ni ndefu kama masaa matatu hivi unaingia kwenye mji mkongwe, uliotawala amani na utulivu. Upepo unasukumwa na mawimbi ya bahari ya hindi, tambarare na milima ya kuchosha mwili na...
  6. VANDYBLEAZE

    Nasikitika nakaribia kumaliza masomo ya juu lakini sioni mwanga wa mafanikio naona kabisa naenda kuteseka

    Habari wana jukwaa mimi ni mgeni humu ila natembelea kila siku na navutiwa na hoja na maoni ya wanajamvi niwe mkweli naipenda JF Mada hapo juu inasomeka, nipo mwaka wa tatu sasa sikufanikiwa kupata 100% ya mkopo so hata bum nilishindwa kuliweka linisaidie kiwango kikubwa nilimaliza kwenye ada...
  7. VANDYBLEAZE

    Watanzania wengi kweli tuna changamoto ya Afya ya akili

    Mara nyingi hao ni madem au watoto waliozaliwa baada ya mwaka 1999 kiufupi anataka mfanane umri👫
  8. VANDYBLEAZE

    PICHA: Naombeni kujua huu ni ugonjwa gani unaotutesa hivi mimi na familia yangu

    Tumia dawa moja inaitwa SAFI ni bidhaa kutoka kwenye kampuni ya Hamdard india inafaa sana kwenye magonjwa ya ngozi inasafisha damu niliwahi kutumia nikapata matokeo mazuri
Back
Top Bottom