Recent content by vance12

  1. vance12

    Je ni sahihi kupekua simu ya mwenzi wako pale anapokuwa yupo au hayupo?

    totoadela nahisi kutokuwa muwazi ni sign moja ya udanganyifu mtu anapokuwa anahofu ni haki yake kujua au nakosea
  2. vance12

    Je, kuku wa siku tatu anaweza kula chakula chochote ukiachia mbali stater kama ndio, ni kipi?

    Je, kuku wa siku tatu anaweza kula chakula chochote ukiachia mbali stater kama ndio, ni kipi?
  3. vance12

    Je ni sahihi kupekua simu ya mwenzi wako pale anapokuwa yupo au hayupo?

    Kumekuwa na dhana kwamba unapokuwa kwenye mahusiano na kukawa na ubinafsi katika kushikiana simu basi inaaminika mmja wapo ana kuwa anachepuka je ni kwel dondosha comments chini
  4. vance12

    Je, umewahi kuachana na mtu uliewahi kumpenda? Ilikuwaje?

    basi this relationship thing is complicated
  5. vance12

    Je, umewahi kuachana na mtu uliewahi kumpenda? Ilikuwaje?

    nawakumbusha mpende kiasi na nafikilia hata ukimpenda sana nadhani usimuoneshe au mnaonaje wakubwa
  6. vance12

    Je, umewahi kuachana na mtu uliewahi kumpenda? Ilikuwaje?

    ko njia salama ni ipi unadhani ni bora kuendlea nakuzidi kudidimia kwa maumivu na manyanyaso...
  7. vance12

    Je, umewahi kuachana na mtu uliewahi kumpenda? Ilikuwaje?

    Kati ya vitu vigumu ambavyo vimekuwa vinawasumbua vijana wengi sikuhizi ni pale anapokuwa ana mapenzi na mtu ambaye kiukwel yeye anampenda kutokana na mazingira labda waliokutana au vitu walivyofanya pamoja lakni mwenzake anakuwa hampendi kabsa na kuna vitu baaadhi anakuwa anafanya ili tu...
  8. vance12

    Msaada tafadhali: Nina kibamia

    wanaume wengi wanatatizo kama la rafiki yetu hapa sema wanaogopa kupanda ma jukwaa na kusema ukweli nipende kumpongeza rafiki ang kwa kujitokeza kueleza tatizo lake nipende kukushauri ufanye zoezi linaloitwa kegel ilikuimarisha misuli yako pia ziamini hizo dawa lakn ziwe kampuni linaloeleweka...
  9. vance12

    Naombeni ushauri

    Unapoambiwa kitu na watu kiweke kwenye tafakari zako pia pale mkiachana watoto utawajengea mazingira gan wew chakufanya tafta sehemu nenda upate pumnziko la akili kwa mda kama kwel anakupenda atakutafta kama akupendi hatokutafta hicho ndo kipimo kidgo ##unae mpenda nae anawake pia
  10. vance12

    KWELI Uwanja wa Mkapa kufungwa kwa muda baada ya CAF kushauri uboreshwe

    ndio kabisa bora hata wameona make uwanja ulianza kuaribika
Back
Top Bottom