Recent content by Van Jecar

  1. Van Jecar

    Mzumbe na ardhi tatizo nini?

    Ardhi huwa ni ya mwisho miaka mingi tu... vumilieni kitaeleweka
  2. Van Jecar

    Waliochaguliwa ARDHI UNIVERSITY uliza chochote

    Hostel so far kupata ni bahati ya mtu coz zilizopo hazitoshelezi
  3. Van Jecar

    niulize kuhusu building economics, building economics, na architecture

    Watakutana na bwana Rajabu n lello pale kati noumer
  4. Van Jecar

    Waliochaguliwa ARDHI UNIVERSITY uliza chochote

    kuhusu kozi,,hostel,,mazingira ya chuo na mengine yaliyo ndani ya uwezo wangu utajibiwa
  5. Van Jecar

    Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2015/16

    Kwa kozi za Ardhi university, mazingira na maisha ya chuo Ardhi kwa ujumla uliza tutasaidiana.
  6. Van Jecar

    Hivi bodi wana mpango gani na hela zetu za field?

    Ardhi pia tunakaribia kuimaliza hiyo hela yenyewe tushapewa kitambo tu
  7. Van Jecar

    Mada maalumu: Mchakato Bodi ya Mikopo 2015/16 (Vigezo na ujazaji fomu)

    kuna mda mtandao unazingua ila usikate tamaa itatiki tu
  8. Van Jecar

    Maandamano ya amani kwa waliokosa mkopo HESLB tarehe 15 October

    wazo zuri ila taratibu na kanuni ni lazima zifatwe mwisho wa siku mtaishia kupigwa mabomu ya machoz
Back
Top Bottom