Stress ni kitu kibaya sana na siku zote hushusha CD4 pindi unapo kuwa na mawazo Mimi nahitaji friends wa kupoteza mawazo mabaya kuchat, kucheka nao na kubadilishana mawazo, but nili zaliwa nayo hii kitu sasa changamoto zimefanya nipoteze baadh ya vitu muhim na kupelekea kuwa na HIGH VIRAL...
Duuuu kwanza big up sis jasiri sana but usiwaze utapata tu.maana bora iwe bata kwa bata kuliko bata kwa kuku. Ukipata wa aina yako nafuu sana kuliko negative utasumbuliwa sana.
Am pos like u
But younger 23 years
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.