Recent content by vamshiki

  1. V

    JamiiForums Tanzania Kwanini hawa wana pesa sana lakini hawajasoma?

    Wewe muda wako uliutumia kwenye kusoma wao walikuwa wanatafuta pesa sasa unachojiuliza apo in kipi wakati jibu lake easy tuu
  2. V

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya fedha nje ya bajeti siyo wizi

    Yaaan izooo hela wanakuambia wazaliwe watoto 12769 alafu pindi tuu wazaliwapo waanze kufanya matumizi ya kila mmojawapo Tsh. Laki na nusu kwaujumla wao wataishi miaka 89 na haziishi zitabakia Tsh. 35647880909879899873577777
  3. V

    JamiiForums Tanzania ‪Waziri Manyanya: Mbaazi ni chakula kizuri chenye protini na watanzania wanaweza kula kwakuwa soko si zuri‬

    Kwahiyo mh. Waziri yaaan nimepata mbaazi gunia 12 unaniambia nile nitaweza kweli kumaliza hizi mbaaaz bila msaada wenu serikali!!!!? Aya nakula mamake asubh mchana na jion kwan si zangu,,, jaman anaetaka mbaaaz bureeeeee nimgaie [emoji121][emoji121][emoji121][emoji121]
  4. V

    JamiiForums Tanzania Askofu Mkuu Zachary Kakobe aitwa Uhamiaji Jumatatu kuhojiwa juu ya uraia wake

    Raia halisi wanahojiwa lakin wengine wale wahamiaji hata hawasumbuliwi kabisaaaaa
  5. V

    JamiiForums Tanzania Tukikifuta Chadema tujiandae kisaikolojia kutawaliwa kidikteta bila mtu wa kuhoji na wala sio maendeleo

    Tena naomba wangrfuta hata kesho asubuhi mamaeeee ili wajue sio tuuu vyama ndio vinaipinga sirikali yaoooo waje waone wanakopingiwa maaana wanajua kama vyama vya upinzanai ndio vinapinga serikal hiii,,,, god bless magufuli afute vyama vya upinzan usiku wa leo
  6. V

    JamiiForums Tanzania Mpumzisheni Mpendwa Rais wetu Dr. Magufuli na ratiba zenu kwani mnamchosha sana

    Wewe mwenyewe mwandishi inawezekana ratiba zakoooo ovyooooo kabisa lakini unakuja kumumhofia mtu hata ajawahi kukufikilia kuwa na wewe upo kwa nchi yake,
  7. V

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Vyombo vyote vya Ulinzi na Usalama, wafanya Zoezi la Utayari

    Ivi Abdul Nondo yupooooo
  8. V

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Abdul Nondo itawavua nguo Serikali na Jeshi la Polisi mchana kweupe

    Umeeleweka mkuuuu
  9. V

    JamiiForums Tanzania UPDATE: Abdul Nondo ahamishiwa Iringa kimyakimya, afikishwa Mahakama ya Wilaya. Anyimwa dhamana...

    Kumbe kama ni ivooo kina Roma wale walikuwa midebwedo aseee,,, maana huyu jamaaa kakomaa nao utasema anataka awe rais!!!!? Siangewalegezea kidogo tuu wakamwachia then akaja kukichafua kitaaa na kumwaga mambo yote hadharan kwamaana hata kama wakimtundulisu freshi tuu tunakuwa tushajua ukweli
  10. V

    JamiiForums Tanzania Naomba kumjua Mwenyekiti wa Wakuu wote wa Mikoa hapa Tanzania

    Napita tuuu maana kila nikicomment wananibania comment yanguu siiiyoniiii
  11. V

    JamiiForums Tanzania Maadhimisho ya 54 ya Muungano wetu mwaka huu yatafanyika wapi?

    Maadhimisho ya muungano mwaka huu hayanaga mkoa maalumu yatafanyika mikoa yote kwa kuhudhulia kufanya usafi pamoja na jeshi la wananchi ili kutengeneza mahusiano mazur na jeshi letu
  12. V

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa Serikali achieni ngazi kabla ya kuanza Kuleta vuguvugu za uvunjifu wa Amani.

    Watatokea watu kuwatisha pindi mtakapojaribu kufanya maanfamano ya amani na kutafuta haki,, nawaasa msikatee tamaa na wala msihofie chochote kwa maana hakuna haki inayokuja kwa kuombwa kirahisi rahisi tyuuuu kama wajinga wengine wanavyowaza[emoji41][emoji41],,,. Nihayo tuu jamaa zangu we kama...
  13. V

    JamiiForums Tanzania Yupo wapi Mtulia wa Kinondoni?

    Aya jaman
  14. V

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Kangaroo imeshamuhukumu Abdul Nondo

    Makala ndefu ivii
Back
Top Bottom