Mkuu weka humu humu ndo vizuri zaidi, ili mtu akitaka kitu anakipata hapa hapa kwenye thread moja! Tunashukuru sana mkuu kwa juhudi zako binafsi za kujitolea na kutupa elimu bure ingawa wewe uliipata kwa gharama za madolali. Huu uzi nakwambia utakuwa funga kazi. This gonna be the most educative...
Hehehehe aisee mecheka kwa sauti mpk watu wamenishangaa... duh kigezo cha kucha aisee umenivunja mbavu. Ila inaonesha you know how to love... sema vigezo viko lukuki mno
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.