Recent content by valera

  1. V

    Tatizo kwenye tecno p5

    na tatzo hapa nina simu tecno p5 ina tatzo moja yan nashindwa kuelewa kabisa naireset ila wap yaan inaleta vitu via ajabu ajabu tu mara ijiwashe data connection mara idownload apps ambazo hata cjaruhusu halaf nikitaka kuireseet kwa hard reset inaniandikia no command yan nashindwa kuitumia kabisa...
  2. V

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Iphone 5s Rangi silver Internal gb 16 Gud condition Comes with charger,cover na bumpercase Bei 500k Location mtwara Njoo pm kwa maelewano zaidi
  3. V

    Bado nampenda, kurudiana nae naogopa

    Habari za mda huu wana jf, bila kupoteza muda naomba niende kwenye tatizo langu ambalo nahitaji ushauri wenu, nilipokua secondary form four nilikua na gf ambaye yeye alikua form three, kiukweli nilimpenda na nadhani na yeye alinipenda pia kwani alikua ananisikiliza mno na alikua ananipa kila...
  4. V

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Iphone 5s 16gb ipo vzur nakupa na cover moja pamoja na bumper case na charger bei 550k rangi silver npo Mtwara ukihitaji kesho nakutumia popote ulipo, nicheck inbox kwa maelewano zaid
Back
Top Bottom