Recent content by Valenciaga

  1. Valenciaga

    Msaada: Mke wa mtu anataka kuhamia kwangu

    Ngoja niweke nafasi
  2. Valenciaga

    Nimepanga kuacha tabia hizi 2024

    Sawa kabisa A year of celebacy
  3. Valenciaga

    Nimepanga kuacha tabia hizi 2024

    Nataka ni focus kwenye kazi asilimia 100 Nitaweza tu, mbona pombe niliweza!
  4. Valenciaga

    Nimepanga kuacha tabia hizi 2024

    Nitaoa mwaka 25 mwaka huu na malengo mengine kabisa
  5. Valenciaga

    Nimepanga kuacha tabia hizi 2024

    Na kweli ni mateso ila nitaweza tu
  6. Valenciaga

    Nimepanga kuacha tabia hizi 2024

    Unaachaje kusoma nyuzi za kipuuzi ss wakati wewe ni kubwa la wapuuzi na hapa umecoment upuuzi
  7. Valenciaga

    Nimepanga kuacha tabia hizi 2024

    Nijifungie ndani iliiweje
  8. Valenciaga

    Nimepanga kuacha tabia hizi 2024

    Asante sana kwa kunitia moyo
  9. Valenciaga

    Nimepanga kuacha tabia hizi 2024

    Habari wadau, Na mshukuru mungu, kunifikisha December salama, mwaka huu mwanzoni mwa mwaka huu niliweka malengo ya kuacha pombe, na kweli tokea tarehe 01-01-2023 sijanywa pombe Wala sitamani. Itakapofika tarehe 01-01-2024 Nataka niache: (01) Kunywa soda (02) Nataka nikae mwaka mzima bila...
  10. Valenciaga

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Nawezaje kutoa taarifa dhidi ya wizi wa umeme? TANESCO
  11. Valenciaga

    Kucheleweshwa kwa mafao na PSSSF

    Nilifungua madai mwaka Jana mwezi wa 5, nadai tu hela ndogo kama 2.7m lakini ni mizungusho tu, mara wanashughulikia za mwezi wa tatu mara bado inafanyiwa kazi, na hawajui ni lini fedha itatolewa kwa sababu walio fungua madai hapo ni wengi sana. Kiukweli hii serikali inaumiza sana raia...
  12. Valenciaga

    Kwanini NSSF hawanipi mafao yangu yote baada ya kuacha ajira?

    Je Kama mshahara wa mwisho ulipunguzwa ikawa nusu mshahara Let's say nilikuwa na lipwa 600k Na kwakipindi cha miezi kadhaa nikawa na lipwa 300k je watatumia mshaara gani kukokotoa?
Back
Top Bottom