Oil Based Perfumes zinadumu zaidi ya masaa 72 tunauza jumla na rejareja delivery ni BURE. Tupo Dar tunauza jumla na rejareja.
Jumla (Kuanzia 10pcs):
50ml : 30,000Tsh
30ml : 20,000Tsh
10ml : 7,000Tsh
Rejareja:
50ml : 35,000Tsh
30ml : 25,000Tsh
10ml : 10,000Tsh
Karibuni.
Wengi wao wana upendo wa dhati sana na hawaigizi. Nishawahi date na toto la kiarabu japo dini tofauti ila alinipenda vibaya mno ila ndo hivyo mzee wake akakataa asije Tz kabisa hata kutalii tu maana anajua hatarudi nchini kwake[emoji23][emoji23][emoji23]
"Wengi wameniomba namba ya Steve, jamaa aliyetoa mchongo wa chupa za plastiki.
Nimeongea nae na amenipa ruhusa ya kutoa namba yake, 0766499336 Mtafuteni Whatsap". DJ Tee
Haya kwa wale wenye maswali yoyote wanaweza kumwuliza mhusika namba yake hiyo hapo.
Huyu mchina wanasema ana magodown sehemu mbalimbali mfano kigamboni, makumbusho, tegeta nk so nadhani kiwango cha plastic anachochukua kitakuwa kikubwa. Hizo taarifa zako ni kutoka kiwandani au wapi?
Mambo vipi wadau, huu mchongo hapa chini naona unasambaa sana kwenye mitandao ya kijamii nikaona niulete humu tuujadili kama una uhalisia wowote, karibuni kwa maoni.
*************************
Kwa majina naitwa Steve Mtundu. Nimfanyabiashara wa spea za magari lkn pia nafanya biashara ya makopo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.