Tafuta series ya GREY'S ANATOMY ni full udaktary na surgery itakujenga kiufahamu sana wa Afyah japo nindefu kidogo.
Sent from my LG-D855 using JamiiForums mobile app
Kwakweli bwana mjinga mm ckuungi mkono, kama kila mgombea angeshauriwa ajitoe je tunvekuwa na wagombea ccm,
na kupata ama kushindwa ni kawaida katika ushindan ndio maana inaitwa safari ya matumain
na siku zote ni bora kujari kuliko kukimbia.
Na pia Kwa sasa Mh anaonekana kuwa na kibali kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.