Hoja yangu kwa tamisemi serikali inachelewesha kulipa mapunjo ya mishahara lakini kadiri inavyochelewa kulipa kuna charges ambazo hutozwa kulingana na muda tangu uliporekebishiwa mshahara hadi mwezi utakao lipwa,hivyo nani anastahili kutozwa hizo charges walipeni walimu mapunjo ya mishahara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.