Recent content by uzeebusara

  1. uzeebusara

    Plot4Sale Nauza kiwanja kipo Kidete, Kibugumo, Kigamboni

    Hapana hakina hati ya wizara. Kina hati ya serikali ya mtaa. Tumelipia gharama za awali za urasmishaji ili kupewa hati ya wizara baada ya mchakato kukamilika, ila taratibu zinaendelea
  2. uzeebusara

    Plot4Sale Nauza kiwanja kipo Kidete, Kibugumo, Kigamboni

    Mkuu kama hupajua mahala plz uliza usaidiwe. Kutoka Ferry hadi Mji mwema pale kwenye taa za kuongoza magari ni km 5, kutoka pale Mji mwema hadi shule ya msingi Kibugumo ni km 2.7 then shuka njia ya kwenda nyumba za serikali kapime. Utakuja rekebisha kauli hy
  3. uzeebusara

    Plot4Sale Nauza kiwanja kipo Kidete, Kibugumo, Kigamboni

    Habari wana jukwaa! TAARIFA: KIWANJA KIMESHAUZWA Note: admin sijaelewa kwa nini tangazo la kwanza mmelifuta. Tafadhali naomba msifute au laah niambieni nakosea wapi Nauza kiwanja changu kipo eneo la Kidete, Mtaa wa Kibugumo, Kigamboni. Kiwanja kinafikika kirahisi sana kwa anefahamu njia ya...
  4. uzeebusara

    Computer4Sale Nauza Laptop HP Elitebook folio 1040

    Hela yk kubwa lakini sio kwa mashine hii. Thamani yake ni zaidi ya hy amana yako
  5. uzeebusara

    Computer4Sale Nauza Laptop HP Elitebook folio 1040

    BIASHARA IMEFUNGWA: LAPTOP IMEUZWA Ahsante kwa kupitia tangazo Habari zenu! Nauza laptop mali yangu mwenyewe haina dalali yenye maelezo haya: Aina: Hp Elitebook Vpro Folio: 1040, touch screen Processor: core i5-5300U Speed: 2.30GHz RAM: 8GB Storage: 256SSD Umbo: Slim (kg 1.5 weight) Rangi...
  6. uzeebusara

    Ushuru wa Maegesho: Sitaki kuamini kama uhuni huu wa TARURA una baraka ya Serikali

    Mie nimekutana na mkeka huu hapa j3 wiki hii
  7. uzeebusara

    Ushuru wa Maegesho: Sitaki kuamini kama uhuni huu wa TARURA una baraka ya Serikali

    Pole sana Mkuu Upo mtindo mwingine wa kuisajili gari katika malipo ya siku ya sh 2500 bila ridhaa wala kutaarifiwa Unakuta ulipark mahala kwa muda mfupi, lakn mtu wa maegesho sijui kwa maksudi au kuhakikisha hesabu yake ya siku inatimia anakusajili ktk mfumo huo, hapo ina maana gari yk hata...
  8. uzeebusara

    Nahitaji "android screen lcd repair"/kioo

    Habari wanajamii Naomba kujuzwa bei ya kioo cha android screen lcd inch 10, kwn inaonekana kama touch imekufa. Hii ni kutokana na kutofanya chochote ukikigusa, ila ukitumia mouse, ipo vema. Naomba 1. Kujua bei yake 2. Mahali ntapata 3. Gharama za ufundi Kama unacho nicheki PM
  9. uzeebusara

    Ufafanuzi: Toyota Harrrier yenye yenye uwezo wa injini 2490 ie cc 2490

    Habari zenu, Natumai tupo poa. Naomba ufafanuzi wa Toyota Harrier yenye injini model no. MCU30 kuwa na injini capacity 2490 nimeiona mahala. Kwa sababu nimezoea kuziona Toyota Harrier za 2AZ ambayo inakuwa na cc 2360 na 1MZ inakuwa na cc 2990 (nirekebishwe kama nimekosea). Nimekutana na hii...
  10. uzeebusara

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Nauza simu aina ya OPPO A74 (Used) Sifa zake 1. Aina : Oopo A74 2. Android version: 11 3. RAM: 6GB 4. Storage: 128GB 5. Rangi: nyeusi 6. Line 2 7: Bei 430,000 maongezi yapo 8. Inapatikana Kigamboni, Dar es Salaam Mawasiliano: 0777777766 call au inbox au whatsapp Karibuni
  11. uzeebusara

    INAUZWA Nauza friji iliyotumika

    Hapana nilinunua jipya kabisa kutoka dukani
  12. uzeebusara

    INAUZWA Nauza friji iliyotumika

    Wao wenyewe wanajua namna ya kufanya modification kutoka friji na kuwa incubator.
  13. uzeebusara

    INAUZWA Nauza friji iliyotumika

    Sio kirahisi hivyo! Vipo vya kutupa
Back
Top Bottom