SOMETIMES YES SOMETIMES NO.
TRUE.
KILA KITU KILIUMBWA KWA MAKUSUDI YAKE.
KUNA FEW ABNOMALITIES.
TOFAUTI NA HAPO KUNA SIKU UNAWEZA KUJUTIA MAAMUZI YAKO.
Muda mwingi ni pale anapokuwa shule. Awapo nyumbani inatokea lakini mara chache chache sana.
Kingine kinachoonekana ni maumivu ya tumbo chini ya kitovu.
Habari za wakati huu wadau?
Kuna kijana wa 10 yrs.
Mara nyingi sana anajisikia Kichefuchefu na kutapika hasa anapokuwa shuleni.
Hospitali zote za maeneo ya jirani amepelekwa lakini, wanasema hana tatizo lolote.
Akiwa shule mara nyingi kila akila chakula anatapika.
Kama kuna mtu anauzoefu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.