Recent content by Uyui

  1. U

    JamiiForums Tanzania Elimu yetu inachezewa na Wizara ya Elimu

    Mfumo wetu wa elimu hauko sawa na unachezewa sasa sijui kwa malengo gani, tuanze na usahhihisha wa mitihani kuna dosari nyingi huwa zinajitokeza na hazifanyiwi kazi. Mfano matokeo ya form waliofanya mtihani mwaka jana yale yamechakachuliwa sasa sijui kwa lengo gani, hebu angalia zamani...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Serikali itoe tamko au waraka kupunguza adhabu ya fimbo mashuleni;watoto watavunjwa nyonga

    kapuyasekondari ilioko wilayani Kaliua waalimu hujipanga kuchapa viboko wakiongozwa na mkuu washule. mwanadunzi akiingizwa ofisini ndio kiama chake
  3. U

    JamiiForums Tanzania Serikali iwe makini kwenye fedha inazoleta kwa ajili ya miradi ya maendeleo

    wilaya Uyui miradi haijakamiliika hakuna wakaguzi kazi yao kuomba rushwa tuuuu
  4. U

    JamiiForums Tanzania Serikali iwe makini kwenye fedha inazoleta kwa ajili ya miradi ya maendeleo

    Serikali kama imelala kwenye fedha inayoleta kwa ajili ya maendeleo fedha hizo zinaishia mikononi mwa wajanja. Kwani yanayofanyika ni madudu matupu nimepitia baadhi ya halmashauri. Miradi mingi haijakamilika na pesa zote zimetafunwa na wajanja na bado wako maofisini mpk sasa. serkli haitumi...
  5. U

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kapuya Sekondari ipunguze viboko hali ni mbaya

    uje ulalke
  6. U

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kapuya Sekondari ipunguze viboko hali ni mbaya

    mwalimu biklikunya
  7. U

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kapuya Sekondari ipunguze viboko hali ni mbaya

    acha ujua wewe
  8. U

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kapuya Sekondari ipunguze viboko hali ni mbaya

    acha kazi maisha magumu hujiongezi wewe tembeza 0
  9. U

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kapuya Sekondari ipunguze viboko hali ni mbaya

    nani kakwambia kwamba mtoto akifanya usumbufu arundikiwe viboko?!
  10. U

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kapuya Sekondari ipunguze viboko hali ni mbaya

    NB SERIKALI IWEKE UKOMO WA VIBOKO VINGAPI MWANAGUNZI ANATAKIWA ACHAPWE
  11. U

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kapuya Sekondari ipunguze viboko hali ni mbaya

    Tena nyie ambao ndio mnaanza kazi huwa mnapenda sana kuchapa chapa wanao mkuu hvyo viboko ili uone raha.
  12. U

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kapuya Sekondari ipunguze viboko hali ni mbaya

    Hata kama ana kosa viboko zaid ya 40 ni hatari kwa maisha ya mwanadamu, labda kama waalimu wa siku hizi wanavuta bange
  13. U

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kapuya Sekondari ipunguze viboko hali ni mbaya

    Hujawai kuwa na mtoto na hujui uchungu wa mtoto
  14. U

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kapuya Sekondari ipunguze viboko hali ni mbaya

    Wizara iangalie upya mtindo wa viboko mashuleni, waalimu wamekuwa wanapiga viboko mashuleni mpaka basi. Kuna shule moja ipo Kaliua inaitwa Kapuya Sekondari, ina piga viboko balaaa. Mwanangu jana kaja kapigwa viboko 48 yuko hoi tena ni form one, anajengewa mazingira ya hofu ili aache shule...
  15. U

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ujenzi wa jengo la Mkurugenzi wa Uyui liko chini ya kiwango, wahusika wawajibishwe

    hii wilaya ni jip mtu anakaimu nafasi miaka 10 kazi yake ni kupeleka mgao tuu wakubwa
Back
Top Bottom