Shirika la umeme Tanzania liko hoi kutokana mgawo mkubwa unaoendelea. wafanyakazi wake wamekuwa wanapenda rushwa kupitiliza.
wakati Nchi ikiwa kwenye mgao mzito wa umeme mpaka kero wenyewe wanawaza kuiba tuuu.
Mfano wilaya uyui kila kitu lazima utoe rushwa ukitaka kupimiwa utoe rushwa...
Ni jambo la kusikitisha tangu SGR ianze kujengwa raisi wetu mpendwa hajawahi kuja kuikagua na timu ya wataaalamu wake.
Wanakuja TRL magari yao na hawafungui vioo wanaondoka bila kukagua wengine wanakagua ofisini hawafiki site.
Ikumbukwe kuwa ujenzi wa kilometa ya SGR moja ina gharimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.