Recent content by Uyana

  1. U

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa miaka sita anagoma kwenda shule. Nini kifanyike?

    Mmezaa ancestor
  2. U

    JamiiForums Tanzania Grow your business

    Imebidi tena kusoma nilichoandika na nikaona hakuna tatizo lolote ndugu zerominus10 na Kashaija72 pengine hujui lolote kuhusu ISO ukadhani ni kitu kinachozalishwa. Ikikupendeza unijibu. una maarifa yoyote kuhusiana na ISO?
  3. U

    JamiiForums Tanzania Grow your business

    Sio product ya kampuni mkuu. Wala hiyo/hizo standard haimilikiwi/hazimilikiwi na mtu. Ni huduma au hitaji ambalo kampuni yako inafaa kuwa nayo. Muhimu uwe na kampuni ambayo angalau ina mifumo kadhaa ya kiuendeshaji (departments and processes). Sasa ukitualika kwenye kampuni yako ndio utapata...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Grow your business

    Usianguke tafadhali. Kama wewe ni mjasiriamali simama na ISO
  5. U

    JamiiForums Tanzania Grow your business

    Ni utaratibu wa kuifanya biashara/kampuni yako iwe na viwango vya kimataifa kwa upande wa ubora kwenye menejimenti. Viwango hivyo.vinakupa faida tajwa hapo juu pamoja na zingine nyingi. ISO 9001 inakuwezesha kuendesha biashara yako kikanuni bila kutegemea utashi wa mtu mmoja mmoja hasa kwenye...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Grow your business

    With ISO 9001:2015 you are ahead of others
  7. U

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mh Makonda

    Asante kwa mchango wako. Suluhu zingine watazipata humuhumu
  8. U

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mh Makonda

    Nawe rudi ukajifunze nahau
  9. U

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mh Makonda

    Sihitaji.
  10. U

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mh Makonda

    Asante ng'ombe mwenzangu. Wewe utakuwa ni wa maziwa na mbolea. Subiri utekelezaji
  11. U

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mh Makonda

    Ndio waone haja ya kujipanga upya. Afya ni zaidi ya hiyo mipango hasi
  12. U

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mh Makonda

    Tuko pamoja, Chief
  13. U

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mh Makonda

    Napenda kuchukua fursa hii kupongeza juhudi zako na ubunifu wako katika kuwaletea watu wa mkoa wako na Tanzania kwa ujumla ubora katika utendaji wao wa kila siku. Juzi ulikaa na wadau wa habari kuzungumzia masuala ya usafi katika mkoa wa Dar es salaam. Ni jambo jema kwani kwa tafiti...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Hodihodi

    Natumai mko wazima humu. Au sio?
Back
Top Bottom