Recent content by uwe hodari

  1. U

    PreGE2025 Kinana: Rais Samia wanayemsema ndio ameleta uhuru uliopo nchini sasa hivi, akisema kuanzia leo hakuna maandamano itakuwa nini?

    Wazee wa CCM wenyewe hawajawahi kumwamini wala kumuheshimu kinana Kuna mtu mmoja tu ndani ya ccm anayembeba kinana
  2. U

    Shilingi ya Tanzania inaporomoka kwa kasi kubwa

    Inauma sana kuona unaongozwa na watu wenye uwezo wa kawaida then bahati mbaya wanakuwa mafisadi then bahati mbaya wanapiga mnada nchi kwa waarabu
  3. U

    RockBitch BAND: Kundi la wasanii wa kike lililofanya mapenzi na mashabiki zao

    Wazungu wanafantacies za tofauti sana na hii nikutokana na wao kufikia uwezo wa juu kabisa ya ustaarabu wa mwanadamu... Baada ya hapo wataporomoka na kupotea na kila kitu kitapotea km kulivyokuwa zana za ananuaki Na itakuja generation mpya,ianze ulta km sisi tulivyoanza upya
  4. U

    Nimemkubali Bashe kuwa yuko imara katika kuiongoza wizara ya kilimo

    Bashe acha kujipigia debe Kwenye hio wizara umefeli ni vile tu Mama samia amefumba macho
  5. U

    Maajabu ya Zanzibar, hawalimi, hawafugi lakini wanakula wanashiba

    Wapemba wengi wanafanya biashara na kilimo bara
  6. U

    Tuseme ukweli, kisiwa cha Mafia umeshawahi kusikia habari yoyote mfano kama Serikali zinavyofanyika mikoa mingine

    Mafia kwenda kwa ndege ni salama kuliko boat Hadi watumishi wa halimashauri hupanda ndege kutokea dar, namaanisha walimu,manesi, nk
  7. U

    Amber-Rutty anaomba msaada, amepata ajali

    Pole sana kwake Mungu atamponya nitatoa chochote
  8. U

    Nashera Hotel yawekwa sokoni, nini kimeikumba?

    Waswahili wanapenda kwenye fujo na kelele kule nashera ukisikia kelele ni ndege wanaimba
  9. U

    Nashera Hotel yawekwa sokoni, nini kimeikumba?

    Mwaka jana nilikuwa hapo nilipoona tu waswahili ndio wanacheza golf nikajisemea Nashera haina muda.
  10. U

    Nani alitangulia kati ya Yeriko Nyerere na Nashon C Elia kwenye suala la ujasusi katika dola na uchumi?

    Nilinunua kitabu icho cha yerico niliishia page ya tatu Hana kitu kichwani ni tikiti maji Ni vile jamii kubwa ya watanzania ni wajinga
  11. U

    Hivi ni mimi tu haya maisha yanataka kunikataa?

    Kikubwa umeshajitambua wewe ni nani Amini kesho yako ni njema Usikate tamaa endelea kupambana
  12. U

    Dr. Mwigulu Lameck Nchemba tumia elimu uliyonayo, okoa uchumi wa nchi. Hali sio hali

    Magufuli alitumia miaka mitano ku stabilize sarafu yetu iliyooromoshwa awamu ya nne Lkn miaka miwili tu ya samia ilitosha kuharibu kila kitu
Back
Top Bottom