Recent content by uwarid81

  1. U

    JamiiForums Tanzania So sad nimekuta mke wangu akigegedwa na house boy kwenye sofa nilizonunua mwenyewe

    Na ww toka na hous gar mmalize utata
  2. U

    JamiiForums Tanzania Mkoa Gani Una Baridi Kupita Yote Tanzania?

    M uongo
  3. U

    JamiiForums Tanzania Ee mwenye enzi Mungu nikumbuke tena katika upweke wangu

    Amen, asante sana
  4. U

    JamiiForums Tanzania Ee mwenye enzi Mungu nikumbuke tena katika upweke wangu

    Nashukuru Sana kunitahadharisha Rafiki yangu, kwakuwa Mungu ndiye kiongozi wangu hakuna baya litakalonifika katika hili ninalopitia naamini hivyo.
  5. U

    JamiiForums Tanzania Ee mwenye enzi Mungu nikumbuke tena katika upweke wangu

    Kweli mdogo wangu.
  6. U

    JamiiForums Tanzania Ee mwenye enzi Mungu nikumbuke tena katika upweke wangu

    Nashukuru Sana kwa kunitia moyo mdogo wangu. Katika pitapita zangu kwenye bibilia niliwahi kukutana Na andiko linalomuongelea mjane ni mtu WA aina gani, andiko hilo lilimtaja mjane ni Yule aliyetimiza miaka sitini (60) tena ambaye amekulia nyumbani mwa Bwana kwa maana ya mcha Mungu. Andiko hili...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Ee mwenye enzi Mungu nikumbuke tena katika upweke wangu

    Naomba nikushukuru sana kwanza kwakunijali umeongea sentes chache sana lakini zilizoubeba uhalisia! Ni kweli nawaza sana kama itawezekanaje kuipata kopy ya marehem mume wangu! Naendelea kumlilia sana MUNGU Juu ya hili kwakuwa yeye hufanya yaliyotofauti Na fahamu zetu. Barikiwa sana Rafiki yangu.
  8. U

    JamiiForums Tanzania Single fathers and mothers njooni tujenge familia

    Good idea my dear
  9. U

    JamiiForums Tanzania Single fathers and mothers njooni tujenge familia

    Ni kweli kabisa mpendwa, kulea familia peke yako Na mtoto akatoka mwenye maadili mema si kazi rahisi, inahitajika hekima kwakweli. Lakini nazidi kumshangaa Mungu kwa namna anavyowasimamia wanetu hata kiasi kuna sehemu unaweza linganisha maadili aliyonayo mwao uliyemlea ukiwa single Na mtoto...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Single fathers and mothers njooni tujenge familia

    Uko sahihi dear, Na pia sio wote wamekuwa single kwa sababu ya kuachana tu, sababu ni nyingi ikiwemo mume/ mke kutangulia mbele za haki. Shukrani nyingi zimfikie mleta mada hii.
  11. U

    JamiiForums Tanzania Ee mwenye enzi Mungu nikumbuke tena katika upweke wangu

    Asante kwa swali zuri. Nadhani masharti yangu makubwa nimeyaorodhesha mwanzo wa bandiko! Swala la kipato cha MTU eidha ni kikubwa ama kidogo halinishuhulishi sana kwani maisha yanashuka Na kupanda wakati wowote. Nahitaji mume ambaye hata kama kipato chake ni cha kawaida basi awe Na wivu au kiu...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Ee mwenye enzi Mungu nikumbuke tena katika upweke wangu

    Shukrani sana mdogo wangu
Back
Top Bottom