Niliwai kuishi wilaya ya bahi Dodoma...kuna siku moja Niko nje ya nyumba majira ya mchana wa saa 7 hivi,alitokea mtu gafla akaniomba nimletee maji ya kunywa ,nilipoingia ndani nakutoka nikakuta yupo kifua wazi wakati alikuwa kavaa shati....na Hana chochote alichobeba.....nikampatia maji akanywa...
Niliwai kuacha pombe kwa miezi minane ,hakika sikuwa na hamu hata kidogo miezi 7 ya mwanzo....mwezi wa nane siku moja usiku nimelala nilistuka usingizini na kupata hamu ya ajabu sana ya pombe...kesho yake nikamwambia wife kuwa nina hamu ya ajabu.....sikunywa lakini...mwezi huo huo nilijikuta...
Hakika sikutegemea kujutia jambo lolote la nyuma..Hili ni la kwanza na limedumu mda sana...wakti mwingine hata akija nyumbani tu ,natunga safari ya ghafla naondoka zangu..
Hata barabarani tunaambiwa tusinywe pombe na kuendesha chombo cha moto,ila watu wanakaidi matokeo yake ni ajari...ila hakuna anaedhamilia na kuikubali ajari....ajari ya jambo lolote huwa haina taarifa kwamba inatokea....Nashukuru lakini kwa mawazo yako
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.