Recent content by Utubora

  1. U

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Nimechunguza taa zote zipo okay sijui shida ni nini??
  2. U

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Nashukuru sanasaimon111 na +255
  3. U

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Swali langu ni alama hiyo iliyozungushiwa mstari mwekundu ina maana gani?
  4. U

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Wadau habari za jumapili? Nina gari aina ya rav4 old model auto transmission , wakati nikiwa nimewasha gari kuna alama Fulani inatokea kwenye dashboard ni alama yenye mchoro wa gari ambalo linawasha taa za nyuma. Naomba kujua alama hii inamaana gani kwenye gari wakati ambapo taa zote za gari...
  5. U

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Ahsante sana ansah miles ushauri umezingatiwa
  6. U

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Nashukuru sana bwana mshana, vipi kuhusu kluger??
  7. U

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Nawashukuru sana mshana jnr na ansah miles , rav4 shida yake space ndogo sana! Mbona kuna wengine wanadunda nazo sana hizo hizo harrier?
  8. U

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Mkuu mshana ebu tupe ubora wa gari aina ya harrier maake bei zake zimeshuka kidogo sokoni na wengi tunampango wa kuhamia huko! Mfano mimi nina rav 4 new model lakini Kiukweli naizimia sana harrier.
  9. U

    Kujiunga na Chuo cha Usalama wa Taifa kilichopo Mbweni, Bunju

    Hawa jamaa they are the most autonomous creatures in this planet! Hawana wakuwachunguza au kuwakagua! Wapo free with their lives , unaingiaje humo hamna anaefahamu na wala cjui wanasoma fani gani mungu wangu! Ila wengi wao wanastahili nyadhifa zao
  10. U

    Wafahamu wasanii sita(6) bongo wanaomiliki magari ya gharama zaidi kwa sasa

    Ni kweli vx v8 ya diamond c yake yeye anamiliki BMW X6 ambayo c haba wadau wa BMW watakubaliana na mimi.mark x bwana ni gari la kawaida sana
  11. U

    Mfalme wa bongo fleva diamond platinumz atua ndani ya jiji la songea.

    Ndo napoipendea jamii forums maake kuna diversity of ideas ! Kuna watu wa grammar /morphology ya maneno yani hadi raha! Isiwe ishu pale kwenye jiji pasomeke mji ili twende vizuri tudiscuss mada sio neno moja ka jiji@jambazi na kitu kupe
  12. U

    Mfalme wa bongo fleva diamond platinumz atua ndani ya jiji la songea.

    Ok ngoja ni cut nikapaste huko nashukuru kwa ukumbusho
Back
Top Bottom