Recent content by Utotole

  1. Utotole

    JamiiForums Tanzania Mchungaji aliyetekwa aeleza mateso na kwenda kutupwa porini ashindwa kutembea "Mengine tuyaache "

    Kwa maana kwamba siasa ni kosa la jinai
  2. Utotole

    JamiiForums Tanzania IRINGA: Katibu wa Mbunge, Mwenyekiti Jumuiya ya Wazazi CCM na Diwani wafikishwa Mahakamani kwa muaji ya Katibu wa CCM Kilolo

    Sidhani kama kuna uchunguzi unaendelea. Otherwise, nilitegemea iwe rahisi kukamata watuhumiwa waliotekeleza tukio mbele za watu kuliko waluotekeleza sirini
  3. Utotole

    JamiiForums Tanzania Mchezo umeisha! Msumbiji huru sasa

    Ugaidi mbona ulianza JPM akiwa mwenyekiti wa SADC, alifanya nini?
  4. Utotole

    JamiiForums Tanzania NIMR ni kimeo, haina faida kwa nchi, ifutwe tu

    Unaanzishaje research bila pesa? Wadau wa kusupport ninaamini unamaanisha funding agencies. Kama ni hao, basi wao hucirculate calls for funding opportunity, na zinakuwa zinasema wanataka kutoa pesa kwenye tafiti za uelekeo fulani. Ni jukumu lako kupima interests zako na competency individually...
  5. Utotole

    JamiiForums Tanzania NIMR ni kimeo, haina faida kwa nchi, ifutwe tu

    Issue si watu sahihi. Watu sahihi naamini wapo, unless uwe na uhakika kuwa hawapo. Je, taasisi imewezeshwa kiasi gani kufanya tafiti zenye kuleta matokeo mnayoyataka? Je, mwenye taasisi yeye anataka matokeo gani na ameyagharamia kiasi gani? Matokeo makubwa hayawezi kuja kwa kuyatamani tu.
  6. Utotole

    JamiiForums Tanzania NIMR ni kimeo, haina faida kwa nchi, ifutwe tu

    Nijuavyo, programmatic activities za malaria zipo chini ya NMCP na hizo za matende na kichocho zipo chini ya NTDCP. Hivyo ni vitengo vya wizara ya Afya, na siyo NIMR. Hivyo kusema NIMR wanatuma pesa za miradi ya malaria na matende ni sababu ya kutofahamu ukweli. Yaani ni kama mtu kasimuliwa tu...
  7. Utotole

    JamiiForums Tanzania NIMR ni kimeo, haina faida kwa nchi, ifutwe tu

    Wataalam wa Muhimbili wangepata dawa ya korona?
  8. Utotole

    JamiiForums Tanzania NIMR ni kimeo, haina faida kwa nchi, ifutwe tu

    Wewe sasa ni marehemu. Haukuomba chochote, au una maana baada ya kunywa kachumbari tulipofika?
  9. Utotole

    JamiiForums Tanzania NIMR ni kimeo, haina faida kwa nchi, ifutwe tu

    Inaelekea haujui kitu eneo hilo
  10. Utotole

    JamiiForums Tanzania Shame on Efm radio kwa kudhalilisha CEO wa Simba SC

    Umejuaje huyo Babra ndio pisi kali na huyo fundi ndio Mo Dewji..na hicho chombo (pisi kali) inahusiana vipi na huyo Fundi? Hapo naona ninyi ndio mnaleta tafsiri zenu mnataja na majina ya watu halafu mnasingizia redio
  11. Utotole

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Hutavuka mpaka wa Tanzania bila kupata chanjo ya COVID-19

    "Msema kweli ni mpenzi wa Mungu"
  12. Utotole

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha Lema na Familia yake kupewa Asylum Canada kinaashiria Taifa limeanza kutengeneza wakimbizi wa kisiasa, jambo ambalo halina afya

    Jeshi letu la polisi na mahakama zetu walimwuliza hilo swali? Au wao.hawajui? Ingekuwa vizuri ungelisaidia jeshi la polisi maana una taarifa za kutosha
Back
Top Bottom