Victor meena bwana ( mangi)!!! Hizi sheria na kanuni za habari ni zipi mangi?!... Bado kidogo utakuwa kichaa kwa kuonga waandishi wa habari ili wachafue chuo cha ufundi Arusha. Hoja ni lini chuo kiliita press conference na kuzungumzia ugunduzi wa hhelikopta!?
Hoja dhaifu sana .... ni sawa na kusema Dr. Harrison mwakiembe ni mwanasheria hivyo basi ana sifa ya kuwa waziri wa habari, utamaduni, sanaa na michezo.
sijawahi kusikia sehemu yoyote wahusika wa hii helikopta alisema wamegundua Helikopta bali alisema ni ubunifu wao na wapo kwenye utafiti na hayo mengine ni majungu na kuwakatisha tamaa tu.
Victor meena et al.. Kiwango chako cha kufikiri kumbe ni kidogo hivi.. Soma kidogo historia ya helikopta Dunia... Utakuwa unachekesha Dunia kisema wahusika wamegundua helikopta. Siamini kiwango chako cha kufiriki kimefika hapa !! hivi umetumia fedha kiasi gani kwa sariwati kushawishi...
Ni lini Chuo cha Afundi Arusha ilifanya press conference na kuitangazia dunia kuhusu helikopta ?!!.... suala la helikopta liliibuliwa na vyombo vya habari tu, tena wakati wa ziara ya alikuwa katibu mkuu wa ziara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia alipokuja kuzindua maabara ya hydraulics. pia si...
umesema kweli ndg. Manyerere.... kifupi mleta taarifa hii kwa mujibu wa Press Release ya Chuo cha Ufundi Arusha (ATC) alikuwa ni Mtumishi wa Chuo lakini alifukuzwa kazi kwa kukiuka sheria za utumishi wa Umma na Kesi yao ( wapo watatu) ipo CMA pale Arusha. Huyu Bwana ni bingwa wa propaganda kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.