Siasa ni maisha mkuu.
Labda unamaanisha siasa fake, na chafu ndio ziachwe. Kwa sababu, CCM ya sasa sio chama cha siasa. Ni chama dola. Ni kama kupe, ni mpaka kitolewe hapo kwa nguvu.
Vinginevyo hakuna aliye salama, ikiwemo wewe unayedhani Samia kapita kihalali. Wasimamizi wa uchaguzi nchi...
Wana kipaji cha utapeli. Maneno matupu.
Kwanini wasianze na kuwawajibisha Polisi/vyombo vya usalama waliomkamata dada yake na Polepole na kumpiga vibao wakati wakimtafuta Polepole?
Hawana huo weledi. Undugu-nisation unaipeleka nchi yote shimoni.
Kila mahali tatizo linazidi kukua, angalia mashahidi na mawakili waJamhuri kwenye kesi ya uhaini ya Lissu. Hovyo kabisa.
Hutuna tena vyombo vya haki vya kuaminika.
Google Translated:
Chama ambacho kimeongoza Tanzania tangu uhuru kutoka Uingereza mwaka 1961 ni kiumbe cha ajabu. Chini ya Julius Nyerere, baba mwanzilishi wa nchi, Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambacho kinatafsiriwa kama “chama cha mapinduzi”, kililazimisha mamilioni ya watu kwenye mashamba ya...
Tuna watu wa hovyo kabisa kuwahi kutokea kuongoza taasisi zetu.
Wakati mataifa yanayojitambua kama China na Poland wanatafuta dhahabu kwa udi na uvumba wewe unauza.
Hukuna viongozi hapa ndugu zangu.
Mnamhusisha Mungu kwenye wizi na utapeli wa kura kwa sababu gani?
Jambo liko wazi, huyu Mama kajipachika. Hakuna watu millioni 32 waliompigia kura. Hakuna.
Wasimamizi wa Uchaguzi ndio walitekeleza huu wizi. Kwa kujaza kura za uongo mtupu.
Ni kiongozi anayeshinda kwa haki, kweli, na uwazi...
Ni utapeli wa kisiasa mkuu.
Nchi haina Raisi, kuna mwanasesere tu hapa.
Wewe fikiri Raisi asiye na uwezo anayehitaji msaada wa kila aina, kila kona, ni wa nini haswa?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.