Recent content by Utanitambuaje

  1. U

    Mh.Dr. Jakaya Mrisho Kikwete achaguliwa Kiongozi bora Afrika kwa mwaka 2013

    hapo ndipo paliponishangaza na mimi, kwa nini raisi bora wa africa tuzo isitolewe africa?
  2. U

    David Kafulila,na Serikali Tatu

    kwa kweli huyu jamaa yuko njema sana.
  3. U

    Amini usiamini Marando ndo anabomoa CHADEMA

    Mimi nakubaliana na wewe kabisa, kama tutakumbuka huyu jamaa alihakikisha anaiua NCCR kipindi kile ilipokuwa moto zaidi kwa CCM. HAPA WANA CDM UNAHITAJIKA UMAKINI MKUU KWA HUYU NDUGU. PIA KAMA MNAKUMBUKA VIZURI SIKUMBUKI KAMA KUNA KESI ALIYOWAHI KUIFUNGUA AKIWA KAMA MWANASHERIA IKAISHA ZAIDI YA...
  4. U

    Kumekucha Arusha, Vijana waendesha bodaboda waizingira ofisi ya Mkuu wa Mkoa na Mbunge

    Acha uongo si kwamba boda boda wamemzomea mkuu wa mkoa,inabidi utambue kwamba mkuu wa mkoa ndo amefanikisha kutatua matatizo ya boda boda acha siasa za maji taka.
  5. U

    Maandamano makubwa Arusha yaliyokuwa yaongozwe na mh Godbless Lema

    we uko arusha ya wapi? Mbona polisi wamezunguka sana kule kwa mromboo?
  6. U

    Absalom Kibanda (Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri) avamiwa na watu wasiojulikana na kujeruhiwa

    Hakika ni huzuni kubwa, kweli Mungu amponye na auweke ukweli wote hadharani.
  7. U

    Rais Kikwete, Mkapa na Mwinyi kushiriki maziko ya Askofu Msarikie!

    Baada ya hapo wanakuja arusha kumzika askofu laizer.
  8. U

    CHADEMA Ianzishe mabadiliko ya Ndani, Vinginevyo kuiondoa CCM 2015 ni ndoto - Sehemu ya 1

    Mzee Mwanakijiji safi sana mkuu, huwa nakukubali sana. Sasa kazi kwa viongozi wa cdm kuyafanyia kazi mapema ili tuikamate nchi 2015.
  9. U

    Baba mzazi wa Mwampamba afukuzwa CHADEMA

    Safi sana nimeupenda ushauri huu.
Back
Top Bottom