Mimi nimenunua umeme wa 50,000 sasa hivi, ujumbe wangu huu hapa
Cost 39,344.27
VAT 18% 7,081.96
EWURA 1% 393.44
REA 3% 1,180.33
Debt Collected 2,000.00
TOTAL 50,000.00 20/08/21 22:19
Yaani nimepata umeme wa 39,344 tu, elfu 10,656 ni jumla ya makato,,,, makato ya kununua umeme ni makubwa zaidi...