Akuangamizaje kimya kimya bwana, kwani unafikiri yeye alizalowa nao? La msingi we nenda kapime ili kama uko ok uchukue tahadhari zaidi na kama sio poa basi uanze dozi pia. La msingi hakuna atakayeishi milele hapa duniani so acha uoga ukidhani HIV ndio kitu pekee kinachoua duniani. Uzuri siku...
Dawa ni kila kituo kuweka geti litakalofunguka na abiria kuweza kupita baada ya kuwa amescan tiketi yake. Hiyo itasaidia kuzuia hao wote wababaishaji, kama unalipa nauli ya kuishia Pugu halafu ukaendelea mpaka Moro, ukifika kule manake geti litakataa kukurusu kupita maana tiketi yako ilikuwa ya...
Kuna kitu wazungu wanaita “paradox of plenty au resource curse” na labda kiswahili tuseme “penye miti hakuna wajenzi”
Kuwa na rasilimali nyingi sana kunapunguza ulazima wa kutumia akili tofauti na watu wanaoishi katika mazingira ambayo survival yao inategemea kitu kimoja tu, mfano nchi za...
Tuangalie pia hao walimu wao wanapata wapi pesa ya kuwaweka vijana kambini na kuwahudumia? Kama wazazi wao hawachangii hata buku wao wanatoa wapi pesa hizo? Kata mnyororo wa pesa zao jeuri yote itakwisha
Kuna mshkaji tulikuwa naye serikalini akapata deal ya international NGO, akaomba likizo ya “sabbatical” akapata akaenda.. mkataba ulikuwa wa mwaka mmoja na ni renewable, ila ulipoisha hakutaka hata kuongeza. Mpunga alipata mkubwa sana ila shuruba za kazi ni balaa.
Mawazo yangu:
1.) NGO ni...
Kuongoza vichaa ni lazima nawe uwe am u act kichaa. Haiwezekani mtu anaiba billions za kujenga soko au barabara halafu anakwenda ifungia hiyo hela ndani, kesho yake anapita ktk barabara mbovu au soko chafu kisha analalamika kuwa serikali haifanyi kazi. Kama sio ukichaa ni nini..
my take...
Sio tu mgumu bali hata hajaeleweka alichotaka kusema. Soma heading halafu angalia main body uone kama kuna uhusiano.. mimi sijamwelewa mantiki yake [emoji3525][emoji3525]
Mmh 750,000/= kweli?? Hivi kwa mshahara huo huyu mwalimu atakaa ajenge kweli? Au tuseme atafanya kazi miaka mingapi aje angalau kununua gari ya milioni 15? [emoji17][emoji17]
Hawezi kukujibu hilo swali. Tatizo la kutoa tafsiri kwa uelewa binafsi ndio linaanziaga hapo. Kajifanya kaelewa zaidi ya kilichoandikwa ktk Biblia ila trust me.. maswali yoyote utakayomuuliza hatoweza kujibu kamwe sana sana ataishia kukutusi tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.