Recent content by Utajua wewe

  1. Utajua wewe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi Ninavyofaidi Dunia Yenu

    Kila la kheri Ila hapo kwenye kutuliza akili umejuaje una akili?
  2. Utajua wewe

    JamiiForums Tanzania Kipindupindu chaitesa Wilaya ya Tanganyika - Katavi, waripotiwa Wagonjwa 441, Sita wafariki

    Hii ni code mkuu kuna watu wanaelewa nilichosema
  3. Utajua wewe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi Ninavyofaidi Dunia Yenu

    Meditation inakusaidia vipi kwa hivyo ulivyokuwa? Kingine una amani na hivyo ulivyo ama bora lizame?
  4. Utajua wewe

    JamiiForums Tanzania Njia 20 za kufanya mfanyakazi wa serikali kuwa tajiri

    Sema kufanikiwa nitakuelewa ,utajiri sio mat●ko mjomba Utajiri ni zaidi ya unachokisia na kukijua
  5. Utajua wewe

    JamiiForums Tanzania Kwanini species nyingi za wanawake ni wafupi?

    Badilisha Achana Homo sapien ,chukua roboti
  6. Utajua wewe

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mafuru hakuzikwa nyumbani kwake? Zijue faida za mwanaume kuzikwa pembeni ya nyumba yako

    Mada nzuri sana kwa wenye akili ndogo
  7. Utajua wewe

    JamiiForums Tanzania Ufalme wa Mungu jinsi unavyotafsirirwa

    Ndugu yangu asante sana nimekulewa vizuri sana nimefunguka bakumbwa sana ila Natamani kujua Je sasa kwanni tuseme mungu ni mmoja?wakati kila binadamu aliyempokea kristu ni Mungu Na hapo kwa Mungu baba papoje?kama sisi ni miungu Je tunahaja ya kuomba miungu mingine?
  8. Utajua wewe

    JamiiForums Tanzania Mungu unayemtumikia,ni wewe mwenyewe!

    Mkuu tumia lugha nzuri mbona nitakuelewa tu Kwanini nani kakwambia wewe umeumbwa ? Mungu kwenye vitabu vyenu anasema ameumba watu wawili tu Ogopa matapeli
  9. Utajua wewe

    JamiiForums Tanzania Je, Wayahudi hawahitaji kupitia kwa Yesu kuuona ufalme wa Mungu?

    Israel ni taifa teule kweli. Ila sio hao waisrael unawaona hapo Hao ni waabudu shetani
  10. Utajua wewe

    JamiiForums Tanzania Mungu unayemtumikia,ni wewe mwenyewe!

    Asante sana
  11. Utajua wewe

    JamiiForums Tanzania Mungu unayemtumikia,ni wewe mwenyewe!

    Na Mungu aliyepondani ya ufalme uliopo ndani yako ,ndio unayemtumikia ambayo ni wewe mwenyewe
  12. Utajua wewe

    JamiiForums Tanzania Mungu unayemtumikia,ni wewe mwenyewe!

    Wengine wanasema ufalme wa mungu upo ndani yako
  13. Utajua wewe

    JamiiForums Tanzania Ufalme wa Mungu jinsi unavyotafsirirwa

    Kivipi ndugu yangu naomba nielezee
Back
Top Bottom