Recent content by Usoka

  1. U

    JamiiForums Tanzania GE2025 Prof. Kabudi: Samia ametimiza aliyoshindwa Mwalimu Nyerere

    Hivi huyu mzee aliowafundisha wakoje.Huyu ndie chanzo cha kugeuza vyuo vikuu kuwa chanzo cha kuzalisha chawa badala ya wataalam
  2. U

    JamiiForums Tanzania Asilimia 99% ya watanzania wamekubali kutiki

    Punguza uchawa,mbona maisha yanawezekana bila uchawa!!?acheni faraja za uovu mnaumiza na kupotosha wengine
  3. U

    JamiiForums Tanzania Makala hii ndio imesababisha radio washirika wa BBC kuzuia taarifa ya asubuhi leo 3/9/2025?

    Hivi Salimin Amour (komandoo)na familia yake yuko wapi,kwa nini asitumike kuwapa somo hawa watu!!.Hakuna mbabe mbele za Mungu.
  4. U

    JamiiForums Tanzania Kamwaga atembelea Ubalozi wa Cuba kuhakiki bei ya Gesi

    Huyu jamaa aliwahi kwenda kuangalia wakulima wanavyoteswa na bei za hao fisiem na wanunuzi ni hao hao fisiem na mashamba ya miwa anajua kilio kilichopelekwa huko na mtandao kushusha bei!!?Hapa ndio ujue tuna waandishi wa fisiem
  5. U

    JamiiForums Tanzania TRA Butu, watu wananunua magari ya zaid 2B bila kutoa source ya fedha zao wala kulipa kodi, kazi yao kubwa imebaki kupambana na mawinga

    Shida ya mfumo wa nchi za kiafirika unaundwa kulinda viongozi,nafkri ni maumivu ya ukoloni.Hawajaandaliwa kabisa kulinda uchumi wa nchi na kukuza uchumi.Ndio maana wanalinda siasa kuliko bandari,madini,mbuga na vyanzo vingine vya mapato.Hii shida itagharimu sana haswa baada ya mchina mwizi...
  6. U

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwenye Ilani na Ahadi za Mgombea Urais wa CCM, sijaona popote Sekta ya Kilimo ikitajwa kama kipaumbele

    Watoto wa mjini kilimo wapi na wapi,wanachofanyiwa wakulima wa miwa na mazao mengine ukijua unaweza ukalia machozi ya damu.
  7. U

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwa namna Kibaigwa ilivyofurika mkutano wa kampeni, tumtarajie kaka kuitisha press saa tatu usiku

    Wakaguru Sisiem imewanyonya mpaka damu na kuwaachia umaskini wa kudumu na wanaonekana kuupenda.Akili za wakaguru Mungu awasaidie
  8. U

    JamiiForums Tanzania GE2025 Machinga waelekezwa kwenda kawe Kujaza Uwanja hakuna kufungua Vibanda leo

    Madhara ya kukosa kibali ndio haya,unatumia nguvu nyingi kupata kibali
  9. U

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Matsahi: Nilipambana sana kuukimbia umaskini kwa uwezo wa Mungu na sasa ninaishi Masaki kwenye nyumba yangu mwenyewe!

    Hivi vitu vya wazee nyie ndio mnajua na hamjui siri za humo ndani.Unataka kusema kafanya biashara gani kununua gari ya m 500 na hiyo nyumba na mengineyo nisiweke hapa kwa ajili ya kesho yake.
  10. U

    JamiiForums Tanzania Askofu Dallu: Kiongozi Ukistaafu ondoka, usijifanye mshauri, Serikali ina mipango yake

    Sio kwa vile Ndugai alikuwa mshauri wake ameliwa kichwa kiroho na Kimwili kweli.Kipindi cha Magu askof Shoo wa KKKT alivyokuwa anamkoromea Magu hawa walinyamaza na kuunga juhudi mkono.Yakimfika mtu utaskia akilia au kulalamika,sasa huu ndio msimu wenyewe.
  11. U

    JamiiForums Tanzania Samia anaweza kuwa ndio Rais mwenye msululu wa magari mengi kwenye msafara wake kuzidi maraisi wote duniani

    Gari nyingi hapo ni kuanzia milioni 200 hadi 500 halafu nikija Dar barabara ya Kibaha hadi Moro ni usumbufu na kuchosha askari kila siku.Hela ya hayo magari 70 tu ingetosha hiyo barabara na kumalizika na chenji ingebaki.Ndio maana huwezi kukuta wale manabii rafiki zake wakiombea watu wawe na akili.
  12. U

    JamiiForums Tanzania Polepole hajui vyeo vina limit sio kila Cheo mtu aweza geuka kuwa mshauri Raisi .Polepole hajawahi teuliwa mshauri wa Raisi

    Mbona waganga wa kienyeji wanashauri sana tu na ushauri unafanyiwa kazi,ndio maana kuna upotevu wa vichwa na bado mambo ni magumu,sembuse Mbio mbio
  13. U

    JamiiForums Tanzania Kama watu wanaweza kutekwa na wasijulikane milele kwa idadi kubwa namna hii kuna haja gani ya kuwepo vyombo vya ulinzi nchini?mlinzi wa raia ni nani?

    Katika yote usimtaje mtoto wa Malkia ambae ni madhabahu ya kiti,hata M7 alimpokea watu wakashangaa!!.Tundu alimtaja sana sasa yuko kifungoni,Gwajima akamtaja kwa wema tu,makanisa yako kifungoni.Watu wanatekwa na ukosoaji unaendelea,hata akina Paulo na Yohana walikufa ila mpaka leo mambo yako...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Mkoa gani unaongoza kwa mbu Tanzania?

    Funga kazi ya mbu ni Mwanza Nyashishi,pale kuna mbu kama wanafuga,niliwasha mashine ambayo nasafiri nayo,kwa ajili ya kufukuza mbu bado wakagoma,nikaweka dawa mara tatu wakapungua kidogo.Kesho yake nilihama mwenye ile lodge nikaenda Buhongwa.
  15. U

    JamiiForums Tanzania Mkoa gani unaongoza kwa mbu Tanzania?

    Nilifika Njombe hotelin nauliza net iko wapi wakaniambia kaka tunaomba ukalale huku hakuna mbu,Mbeya Mafinga Makambako hali ni hiyo hiyo hakuna mbu,ila kuna ile baridi ya kutesa haswa. o
Back
Top Bottom