Recent content by USITHUBUTU KUOA

  1. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nime share a hotel room na rafiki yangu wa kiume

    Mnunie tu huyo ni bwege kwelikweli. Yani alishindwa hata kichwa, kichwa Yani kichwa walau kuloweka japo kichwa I mean the tip of the head. That boy is failure failure failure
  2. U

    JamiiForums Tanzania Je, kuna biashara inaweza kuza milioni 1.5 kwa miezi miwili kufika 4 milioni? Nishauri

    Ili update pesa ni lazima utatue matatizo ya watu. Zanzibar Kuna changamoto ya upatikanaji wa uke sana. Uke haupatikani kizembe huku. Sasa tafuta mabinti 10 wazuri sana njoo nao Zanzibar wapangishie vyumba. Chumba kimoja watalala wawili. 40k × 5 × 2 months = 400,000/= Nunua magodoro madogo...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

    Hii Algeria kama ikikutana na stars haiwezi kushinda kizembe hivi. Beki zetu zinakamia sana
  4. U

    JamiiForums Tanzania Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

    Hawa Uganda wajikite kwenye kilimo tu soka limewashinda
  5. U

    JamiiForums Tanzania Quran hii iliyoandikwa imetoka wapi wakati Muhammad hakujua kusoma wala kuandika?

    Nani alivikusanya hivo vitabu 66 na kuvifanya kuwa kitu kimoja? Ukileta majibu hapa basi tutapata uhalali wa kujudge ukusanywaji wa Aya za Quran ambazo zilikuwa kichwani Kwa maswahaba na kuwa kitabu kimoja
  6. U

    JamiiForums Tanzania Quran hii iliyoandikwa imetoka wapi wakati Muhammad hakujua kusoma wala kuandika?

    Quran lazima isomwe Kwa kiarabu. Kuswali tunaswali Kwa kiarabu. " watu kujifunza lugha nyingine mpya, ambayo LAZIMA aelewe kwanza hiyo lugha ndiyo ataelewa yanayofundishwa kwenye hiyo dini. " Kwenye uislamu tu ndo linashida? Ila tukifundishwa physics Kwa kingereza ni sawa😂
  7. U

    JamiiForums Tanzania Quran hii iliyoandikwa imetoka wapi wakati Muhammad hakujua kusoma wala kuandika?

    Ni sawa. Lakini huyo mwana, roho na mtakatifu nae si mnamuomba Kwa kiswahili? Si ni huyo huyo mwana, roho na mtakatifu ambae wanamuomba Kwa lugha ya kingereza na lugha zingine kule Vatican. 😀 Ebwana kuwa serious.
  8. U

    JamiiForums Tanzania Quran hii iliyoandikwa imetoka wapi wakati Muhammad hakujua kusoma wala kuandika?

    Kaka bible imeandikwa na mkono wa yesu?
  9. U

    JamiiForums Tanzania Quran hii iliyoandikwa imetoka wapi wakati Muhammad hakujua kusoma wala kuandika?

    Sio Mimi hayo ni maneno ya wakristo wenzako Lakini kama yesu alishushiwa Injili hii bible imetoka wapi? Kwa Imani yangu Mimi najua mussa alishushiwa torati, haya ya mwanzo, walawi na kutoka siyafahamu labda unielekeze. Alafu Kwa Imani yako Injili ni nini? Kuna kitu nataka kujifunza
  10. U

    JamiiForums Tanzania Quran hii iliyoandikwa imetoka wapi wakati Muhammad hakujua kusoma wala kuandika?

    Nakuelewa sana lakini madhara yake ni kama yafuatayo 1. Kuna lugha hazijakamilika katika misamiati kitu ambacho kinaweza kubadili maana halisi. Mfano mzuri hichi kiswahili Kuna baadhi ya maneno ya kingereza hayana kiswahili chake Quran haisomwi Kwa lugha yeyote isipokuwa kiarabu. 2...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Quran hii iliyoandikwa imetoka wapi wakati Muhammad hakujua kusoma wala kuandika?

    Nadhani Allah anajua lugha zote ndio maana hata nyie mnaswali Kwa kiswahili huku mkitumai kuwa anawasikiliza.
  12. U

    JamiiForums Tanzania Quran hii iliyoandikwa imetoka wapi wakati Muhammad hakujua kusoma wala kuandika?

    Hahahah hiyo original sidhani kama utaipaita Kwasababu Kuna mwenzako alisema Wachambuzi walikaa wakachakata torati, Injili na zaburi wakaifanya ikawa bible. Tunaposema kuchakata Kwa muktadha huu tunamaanisha kuchukua yanayotupendeza na kuachana na yasiyotupendeza Mind you torati, Injili na...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Quran hii iliyoandikwa imetoka wapi wakati Muhammad hakujua kusoma wala kuandika?

    Pekua kwenye bible nadhani utaipaita. Maana humo ndo Kuna injili na uhuni mwingi.
Back
Top Bottom