Kama hamuysjui yaliyopo nyuma ya pazia basi bora kunyamaza, ishu ya Utete na Ikwiriri ilikuwa nzito na ilitakiwa maamuzi mazito. Swali huyo Azory Gwanda alikuwa anaripoti kwa nani?
Ili wananchi milioni 60 waweze kuishi kwa amani ni lazima wasiokuwa na upendo na nchi wafe. Uingereza ili prince Diana, kwa kuwa alitaka kuolewa na mwarabu
Waarabu walimua Mwandishi wa habari Kashoki kulinda Taifa Lao. Hivyo hakuna uongozi unaochekea upumbavu.
Okay, wewe unaangalia mambaya...
Jamani striker anastahili yake uchezaji na hata chenga, sio lazima wafanane. Kuna goal better, ambao mnawaita haters sijui na kuna wengine yeye ndiye anaanzisha mashambulizi na kufunga hao ndio akina Ronaldo, Mbappe nk.
Tunaomba Rais atumie hata chopa kunusuru hayo majimbo. Maana sauti ya baba ina faraja kubwa kuliko sauti nyingine.
Mwenyekiti wa Taifa wa CCM, tafadhali tumia busara zako, kwenye siku 10, zilizobaki tumia siku 3 (tatu) kwenda kwenye mikoa ya Lindi, Mtwara na Ruvuma ili angalau wakuone kuwa una...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.