Recent content by Usimwogope

  1. U

    JamiiForums Tanzania Je benki zinatuibia?

    Kwangu mm naona kama ni wizi tena wa khari ya juu sana.Hiyo hela ni kubwa sana kwa mtanzania wa kawaida nasema hivyo kwa maana kwamba kuna wengine hata mia moja hawaioni kwa siku,atakuwa na haja hata ya kuweka hela bank?.Na isitoshe hata hiyo riba ambayo wanatoza wakikupa mkopo ni kubwa...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu (UDSM) Kufunguliwa na Masharti mapya!

    Hapa sasanakuwa sijui wapi tunaenda maana siku mojo hawa wanachuo watatakiwa kuwa na sale za chuo.
Back
Top Bottom