Recent content by usikumnene

  1. usikumnene

    Utapeli gani uliwahi fanyiwa ukabaki unajicheka mwenyewe

    Mwaka 1994 wakati naenda kuripoti shule kwa usafiri wa train nilipofika Dodoma nilinunua losheni aina ya top society kumbe losheni hiyo chini ulitangulizwa uji harafu juu ndo wakajazia vilosheni. Nilipofika shule nikaenda kuoga baada ya kuoga nikaenda bwenini tayari kwa kujipodoa nikachukuwa...
  2. usikumnene

    Watanzania wawili wakamatwa India kwa usafirishaji wa kilo 1.5 ya dawa za kulevya

    Nchi za kiislam zinatumia haziuzi Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
  3. usikumnene

    UTEUZI: Maharage Chande aondolewa TTCL, ateuliwa kuwa Postamasta, Ulanga arudishwa TTCL

    Dah anaenda kusimamia vifurushi vinavyotumwa kupitia abood bus service, maisha haya. Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
  4. usikumnene

    Rais Samia amtimua Hanafi Hassan Msabaha, Mkuu wa Wilaya ya Mtwara kisa wananchi kurudisha Kadi za CCM

    Duh, DED wa hiyo wilaya ni nani Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
  5. usikumnene

    Ukistaajabu ya Musa utashangaa ya Firauni; aliyesingiziwa kufa aomba rambirambi zake huko Mtwara!

    Wampatie tu rambirambi yake, siku akifa kweli watakuwa wamemalizana naye hakuna kuchanga tena rambirambi Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
  6. usikumnene

    Waziri wa TAMISEMI orodha za wanafunzi waliochaguliwa kujiunga Kidato cha Tano na Vyuo zinatoka lini?

    Wazazi umewaweka kwenye mtanziko mkubwa kwa ukimya wako wa kutotangaza selection ya wanafunzi kwa mwaka 2023/24, hapa tulipo tuko njia panda, maana hatuelewi kinachoendelea huko. Tujulisheni kama serikali imesitisha kudahili wanafunzi wa kidato cha tano na vyuo vya kati mwaka huu ili tuone cha...
  7. usikumnene

    Ni lini majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato Cha Tano na vyuo yatatoka?

    Bado hawajatangaza Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
  8. usikumnene

    Ni lini majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato Cha Tano na vyuo yatatoka?

    Nawaombeni wale ambao wapo karibu na maafisa wa TAMISEMI wanaohusika na kutangaza wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato Cha Tano na vyuo watangaze ili sisi wazazi tujiandae kutafuta ada na mahitaji mengine maana ukimya umekuwa mkubwa mno. Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
  9. usikumnene

    Mbunge Mwita Waitara amwaga machozi mbele ya Wanahabari

    Huyu ni Mkurya wa Ukonga, umesahau Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
  10. usikumnene

    Tetesi: Inasemekana Lukuvi atagombea 2025!

    Kumbuka Jacob Zuma hakuwa na elimu lakini urais aliupata. Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
  11. usikumnene

    Orodha ya walioachwa Ukuu wa Wilaya

    7. Zainabu Kawawa 8. Tano Mwera 9. Shimo alikuwa Geita 10. Abbas Kayanda 11. Kiswaga alikuwa Kahama Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
  12. usikumnene

    Orodha ya walioachwa Ukuu wa Wilaya

    1. Basils Mwanukuzi 2. Jerry Muro 3. Vicent Mashinji 4. Abbas Kayanda 5. Mathayo Masele Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
  13. usikumnene

    Tribute to Prof Benno Ndulu from the world

    Alikuwa mwenyeji wa wapi huyu marehemu Prof Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
  14. usikumnene

    Rais Samia umakini unahitajika kufuatilia utendaji wa Serikali yako na Taasisi zake, ujue wewe ni daktari sasa. Ona hili la HESLB

    Mimi ni mwaka wa sita sijapata refund yangu nimeamua kumuachia Mungu atende miujiza tu. Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
  15. usikumnene

    DOKEZO NBS toeni tamko: Ulipaji wa pesa za semina za Sensa kuna uhuni unafanyika

    Halmashauri nyingi tu fatilia kanda ya ziwa Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom