Recent content by usiambini

  1. usiambini

    JamiiForums Tanzania Hiki ni kipindi sahihi chakudai Tanganyika kwa nguvu zote

    Kupata kitambulisho cha ZAN ID kwa mtanganyika ni rahisi zaidi kuliko kupata NIDA. Hakuna ushuru wa matabaka.Umiliki wa ardhi unatakiwa kua na kitambulisho cha mzanzibari kwa Mtanzania yeyote ndani ya Zanzibar, hii ni kwa watanganyika na kwa wazanzibari wenyewe.Ajira za SMZ pia zinahitaji Zan...
  2. usiambini

    JamiiForums Tanzania Kaimu Waziri wa Afya-Saada: Hatuwezi Kuwatibu wasio Wazanzibari

    Watanganyika wanapotosha sana. Mosi: Afya sio suala la muungano. Kwa muktadha huo lazima kuwe na utaratibu. Na nyerere alielewa. Pili: Kwa miaka mingi sasa Uzanzibari , limeondoshwa neno asili ili kuepuka huo ubaguzi. Tatu: Fahamu nani Mzanzibari? Mzanzibari ni yeyote mwenye kitambulisho cha...
  3. usiambini

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Naibu Waziri wa Vijana, Hassan Khamis: Wanaofanya kazi kwenye Mahotel Zanzibar siyo wazawa inabidi tufanye Mapinduzi

    Wanachangamkia sana ila maafisa wajiri wanauza kazi mno na watamganyika hawana hiana kununua
  4. usiambini

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Naibu Waziri wa Vijana, Hassan Khamis: Wanaofanya kazi kwenye Mahotel Zanzibar siyo wazawa inabidi tufanye Mapinduzi

    Hizi ni propaganda ili kupata uhalali wa kuwanyima fursa. Trust me hizi zins mwisho.Ambacho huelewi wabongo wengi walidhani wazawa ni wapemba , kimsingi wapemba walisha salim amri na kauli hizi kitambo ndio mana mnawaona sana wakifanya biashara. Hivi mnaelewa wazawa wa maenei hayo ya hoteli ni...
  5. usiambini

    JamiiForums Tanzania Naamini kwa dhati maudhi na chokochoko za sasa za Wa-Zanzibar ni kutaka kuwaudhi wa-Tanganyika ili muungano uvunjwe. Hatutauvunja Muungano ng'o!

    Povu lote hili ni kua Rais wa JMT ni mzanzibari.Haikutokea bahati mbaya hiyo ni katiba.Ushauri wangu kuweni wastahmilivu kwa kipindi kilichobaki. Ikifika 2030 mnaweza badilisha katiba na mutupe nafasi wazanzibari munayo ona inafaa kwetu.Imekua kero sasa kwenye mitandao kwenye vikao vya...
  6. usiambini

    JamiiForums Tanzania Putin na Russia jiandaeni kisaikolojia, Boris Johnson anarudi

    Are you serious?Ni viongozi wabinafsi tu na watu wa caliba yako. Rasimal what?Dubai hakuna hata madini ya mchanga na wapo jui
  7. usiambini

    JamiiForums Tanzania Haki ya Mungu nimejikuta namkumbuka Magufuli ghafla tu

    Unyamwezi tu unakusumbus
  8. usiambini

    JamiiForums Tanzania Catherine Ruge: Rais Samia anawanyima Wazanzibar wenzake fursa ya kuwa nchi yenye Mamlaka kamili

    Ukiwa CCM ,uzanzibari unaeka kapuni
  9. usiambini

    JamiiForums Tanzania Je, wajua kwamba Katiba hii mbovu inamruhusu Rais kuteua Watu wa familia yake kushika vyeo mbalimbali?

    Kwa wenye roho mbaya ni nzuri.Kipimo cha ubovu ni yule mwenda zake hata hao vichogo wenzako wanajua
  10. usiambini

    JamiiForums Tanzania CCM ikiendelea kupuuza misingi ya uongozi ya Hayati Dkt. Magufuli, ni dhahiri watakosa kura 2025

    Kwani lazima mama awe roho mbaya na katili?
  11. usiambini

    JamiiForums Tanzania Israel ni Dhulumat

    Dhulumat
  12. usiambini

    JamiiForums Tanzania Miaka 57 ya Muungano, Mzanzibar mmoja tu amewahi kuwa Waziri Mkuu. Je, kuna tatizo?

    Zanzibar si mkoa ,mpuuzi ww
  13. usiambini

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Maamuzi ya CHADEMA kuwafukuza Uanachama Wabunge wake 19 (COVID-19) yaheshimiwe, hawatakiwi kuwepo Bungeni

    TAKUKURU haifanyi kabisa kazi za siasa? Haina meno?
  14. usiambini

    JamiiForums Tanzania Hata mkiruhusiwa kufanya mikutano ya kisiasa mtatueleza nini cha maana tuwaelewe?

    Kuna kitu sielewi, Wanoshabikia awamu ya mwenda zake wengi wao ni watu roho mbaya ,sura ngumu yaani ile mijitu katili inayo jifanya mema mbele za watu .Sura ngumu .Watu moderate and low huezi kuta group hii.
Back
Top Bottom