kipimo chake kikubwa na kuwasaidia wananchi waache kunywa maji pamoja na wanyama, hasa vijijini, wizara hii aliyonayo sasa ni kipimo tosha kama naqualify au la...! ingawa bado hajafikia viwango vya kuwa president wa nchi yenye wapinzani wenye fikra pevu kama CDM...
nafikiri tume huru ya Binge ndio jawabu la msingi, na pia hawa wabunge wanojihusisha na ubadhirifu na uhujumu uchumi si wana majimbo?? leta majina yao jamvini....
watanzania naomba tutumie haki yetu ya msingi kwenye uchaguzi wa 2015...!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.