Tatizo Bwana Maembe alitaka kuuaminisha umma kua yeye ni zaidi ya taasisi CCM ! Aliwavimbia viongozi kwa kauli za kejeli kama niguse ninuke, sasa sijui wameanza kunuka ? Walianza kusema oooh eti mzee Mangula kachoka hamuwezi bwana yule...subiri tuone
Kwa kifupi BM kwishney ! CCM ni taasisi kubwa sana kuweza kutingishwa ba mtu mmoja na kakikundi kake, eti sijui nani, eti ninihii mbobezi ! Ngoja aone hao nanii wabobezi watakavyo lalanae sambamba ! EL aliyepata kura milioni sita 2015 mwenyewe ali surrender 🙌 itakua kidagaa huyu !
johnthebaptist,
Yaani washukuru hata hayati baba wa taifa aliamua awape nafasi ! Leo hii tunashuhudia upumbavu wa kutosha upinzani ! Wapiga Dili mno ! Wacha turudi chama kimoja kama china!
Hapo hata uwe nani ukiharibu adhabu ni kali sana ! Hata kunyongwa, ndio tutapiga hatua ! Hakuna kucheka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.