Kaka, upo sahihi sana. Hii JF ni ya watu wazima na makini sio hao wanaoleta mambo ya FB humu ndani. Hawawezi kujibu hoja kwa hoja bali vijembe vya kipuuzi kama wakuna nazi.
Kaka nimekusoma nikakuelewa na ninakuunga mkono Mia kwa Mia. Tatizo ni sisi waTanzania. Nimekutana na Watu wasomi nikifikiri wana akili kumbe ovyo - eti hakuna mtu Tanzania sasa hivi anaweza kutuongoza ila EL peke yake!!!! Fikira hii ni upumbavu au?
kama maelezo yako yanaonesha kuwa ubaguzi, chuki na ubinafsi ni vitu usivyovipenda, sasa kwanini unatumia lugha hiyo kuwakashifu Watanganyiaka kwa matusi na lugha ya ubaguzi? Acha unafiki wewe ndio ****** na sisi masha zenu maana huo uchafu wa kulalwa na wanaume ulianza na umeshamiri mno...
Mzee Mtei, Mzee Makani, Dr. Slaa na Kamanda Mbowe kamwe hawataweza kuiangusha CDM kwa kumkaribisha Lowassa hata kama kasha alizonazo si za kweli kwa sababu kisiasa ni kifo kwa CDM. Hatuwezi kuua CDM kwa mtu mmoja kama Lowassa ukizingatia CDM imetambulika na kukubalika na watanzania bila msaada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.